Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi Mzee; umepata kichaa cha mbwa? Xi Jinping alishinda uchaguzi gani wa kuwa Rais iwapo siyo kwamba Katibu Mkuu CCP ndiye Raisi wa China, na yeye aliondoa ukomo wa ukatibu mkuu kuwa madarakani na hivyo automatically kuwa yeye rais wa Maisha?Hakuna Rais wa maisha China. Xi Jinping sio Rais wa maisha. Ukomo wa uongozi ndio ulio ondolewa
Nikuulize swali: kuna mahali nimekutukana na kukutolea maneno ya kuudhi ? Kama sijafanya hivyo kwa nini wewe ufanye ?vipi Mzee; umepata kichaa cha mbwa? Xi Jinping alishinda uchaguzi gani wa kuwa Rais iwapo siyo kwamba Katibu Mkuu CCP ndiye Raisi wa China, na yeye aliondoa ukomo wa ukatibu mkuu kuwa madarakani na hivyo automatically kuwa yeye rais wa Maisha?
Umekopi post moja mara sita kutetea ujinga kuonyesha ulivyo pumba kabisa
Serikali ilikwisha kulitolea ufafanuzi hilo swala mwaka 2020 kupitia bad treatment ya raia wa kigeni iliyo fanywa na baadhi ya raia wa kichina wakati wa Covid19 na serikali ikapinga vikali aina yoyote ile ya ubaguzi. Be informedUnasemaje ubaguzi ni wa mtu mmoja mmoja na wakati unafanywa na taasisi kama hospitali,
Na je CCP wameshawahi kutoa tamko au maelezo yoyote kitaifa kuhusu ubaguzi kupitia affiliated media institutions zake, kama yapo tuwekee hapa.
Ubaguzi kwa mtu mweusi China ni mbaya na upo kwa ukubwa na upana kuliko mahali popote pale.
Kanusha kauli yangu kwa ushahidi
Wewe hukujadili mada bali ulikopi post yangu mara sita ukiniambia kuwa sijui mambo yanayoendelea china hivyo kunitaka nisiyaongelie. Huo siyo mjadala bali ni kunyamazishana, na mimi ninayajua mambo yanayoendelea China vizuri sana, hivyo nikaona kuwa huenda una matatizo ya akili.Nikuulize swali: kuna mahali nimekutukana na kukutolea maneno ya kuudhi ? Kama sijafanya hivyo kwa nini wewe ufanye ?
Huwa sishiriki mijadala isiyo na heshima. badili muundo wa hoja zako bila hivyo I like to say have a nice day
Nioneshe nilipo kuambia usiya ongeleeWewe hukujadili mada bali ulikopi post yangu mara sita ukiniambia kuwa sijui mambo yanayoendelea china hivyo kunitaka nisiyaongelie. Huo siyo mjadala bali ni kunyamazishana, na mimi ninayajua mambo yanayoendelea China vizuri sana, hivyo nikaona kuwa huenda una matatizo ya akili.
Learn to use polite language in every conversationKuna pumba nyingi sana uziliandika katika post sita tofauti na ambazo ungeziweka katika post moja tu ikajibiwa. Ndiyo maana nilidhani labda umepata kichaa cha mbwa ndiyo maana unaandika ukiwa unatetemeka na kuishia kurudia rudia.
utaratibu wake ? wananchi wwmeukubali au kikundi cha watu wachache ndo wana upromote ? mnapenda hako kaneno kila nchi ina utaratibu / utamaduni ila hamjiulizig kama wananchi wanaunga mkonoMkuu kizzy wizzy tambua kuwa Kila nchi ina utaratibu wake hasa kwa kuzingatia historia,jamii,uchumi,siasa na utamaduni ni vena kuelewa kwamba siasa ya China haiwezi kuwa siasa sawa na mataifa ya ulaya na marekani na ndivyo vivyo hivyo siasa za ulaya na marekani haziwezi kuwa sawa na siasa ya China
"Pale ukigundua kwamba hakuna meza iliyo andaliwa kwa ajili yako basi tengeneza meza yako"
hahahaaaaWachina wakijadili maendeleo ya Nchi yao....