Vyama vya Siasa 8 nchini China

Vyama vya Siasa 8 nchini China

na alipoingia jamaa Xi yeye akafuta hata ukomo wa uongozi akawa frais wa maisha.
Hakuna Rais wa maisha China. Xi Jinping sio Rais wa maisha. Ukomo wa mihula ndio ulio ondolewa
 
Nchi yenye rais wa maisha unaitegemea kuwa na uchaguzi wowote kweli?
Haufahamu mfumo wa uchaguzi wa China. Jifunze elimu zipo kwenye vitabu ata mitandaoni
 
Hakuna Rais wa maisha China. Xi Jinping sio Rais wa maisha. Ukomo wa uongozi ndio ulio ondolewa
vipi Mzee; umepata kichaa cha mbwa? Xi Jinping alishinda uchaguzi gani wa kuwa Rais iwapo siyo kwamba Katibu Mkuu CCP ndiye Raisi wa China, na yeye aliondoa ukomo wa ukatibu mkuu kuwa madarakani na hivyo automatically kuwa yeye rais wa Maisha?

Umekopi post moja mara sita kutetea ujinga kuonyesha ulivyo pumba kabisa
 
Nikuulize swali: kuna mahali nimekutukana na kukutolea maneno ya kuudhi ? Kama sijafanya hivyo kwa nini wewe ufanye ?
Huwa sishiriki mijadala isiyo na heshima. badili muundo wa hoja zako bila hivyo I like to say have a nice day
 
Unasemaje ubaguzi ni wa mtu mmoja mmoja na wakati unafanywa na taasisi kama hospitali,

Na je CCP wameshawahi kutoa tamko au maelezo yoyote kitaifa kuhusu ubaguzi kupitia affiliated media institutions zake, kama yapo tuwekee hapa.

Ubaguzi kwa mtu mweusi China ni mbaya na upo kwa ukubwa na upana kuliko mahali popote pale.

Kanusha kauli yangu kwa ushahidi
Serikali ilikwisha kulitolea ufafanuzi hilo swala mwaka 2020 kupitia bad treatment ya raia wa kigeni iliyo fanywa na baadhi ya raia wa kichina wakati wa Covid19 na serikali ikapinga vikali aina yoyote ile ya ubaguzi. Be informed
 
Nikuulize swali: kuna mahali nimekutukana na kukutolea maneno ya kuudhi ? Kama sijafanya hivyo kwa nini wewe ufanye ?
Huwa sishiriki mijadala isiyo na heshima. badili muundo wa hoja zako bila hivyo I like to say have a nice day
Wewe hukujadili mada bali ulikopi post yangu mara sita ukiniambia kuwa sijui mambo yanayoendelea china hivyo kunitaka nisiyaongelie. Huo siyo mjadala bali ni kunyamazishana, na mimi ninayajua mambo yanayoendelea China vizuri sana, hivyo nikaona kuwa huenda una matatizo ya akili.

China hakuna uchaguzi kama unavyodai unajua wewe, Jinping hakuchaguliwa kuwa Rais wa China na raia wa China kama unvayodai, Jingpin aliondoa Ukomo wa mtu kuwa Katibu mkuu kusudi abaki yeye tu muda wote na hivyo kuendelea kuwa Rais wa China kinyume na unvayodai; huyo ni rais wa maisha. Kuna pumba nyingi sana uziliandika katika post sita tofauti na ambazo ungeziweka katika post moja tu ikajibiwa. Ndiyo maana nilidhani labda umepata kichaa cha mbwa ndiyo maana unaandika ukiwa unatetemeka na kuishia kurudia rudia.
 
Wewe hukujadili mada bali ulikopi post yangu mara sita ukiniambia kuwa sijui mambo yanayoendelea china hivyo kunitaka nisiyaongelie. Huo siyo mjadala bali ni kunyamazishana, na mimi ninayajua mambo yanayoendelea China vizuri sana, hivyo nikaona kuwa huenda una matatizo ya akili.
Nioneshe nilipo kuambia usiya ongelee
 
China hakuna uchaguzi kama unavyodai unajua wewe, Jinping hakuchaguliwa kuwa Rais wa China na raia wa China kama unvayodai,
Bunge la watu wa China ni wananchi wa nchi gani ?
 
Kuna pumba nyingi sana uziliandika katika post sita tofauti na ambazo ungeziweka katika post moja tu ikajibiwa. Ndiyo maana nilidhani labda umepata kichaa cha mbwa ndiyo maana unaandika ukiwa unatetemeka na kuishia kurudia rudia.
Learn to use polite language in every conversation
 
Mkuu kizzy wizzy tambua kuwa Kila nchi ina utaratibu wake hasa kwa kuzingatia historia,jamii,uchumi,siasa na utamaduni ni vena kuelewa kwamba siasa ya China haiwezi kuwa siasa sawa na mataifa ya ulaya na marekani na ndivyo vivyo hivyo siasa za ulaya na marekani haziwezi kuwa sawa na siasa ya China

"Pale ukigundua kwamba hakuna meza iliyo andaliwa kwa ajili yako basi tengeneza meza yako"
utaratibu wake ? wananchi wwmeukubali au kikundi cha watu wachache ndo wana upromote ? mnapenda hako kaneno kila nchi ina utaratibu / utamaduni ila hamjiulizig kama wananchi wanaunga mkono
 
Back
Top Bottom