Mkuu kizzy wizzy tambua kuwa Kila nchi ina utaratibu wake hasa kwa kuzingatia historia,jamii,uchumi,siasa na utamaduni ni vena kuelewa kwamba siasa ya China haiwezi kuwa siasa sawa na mataifa ya ulaya na marekani na ndivyo vivyo hivyo siasa za ulaya na marekani haziwezi kuwa sawa na siasa ya ChinaWe jamaa bana, dah..!!
How come unaviita ni vyama vya kisiasa na wakati havihusishwi kwenye kugombania nafasi muhimu kwenye nyazifa nyeti za kiserikali,
Why top members wote wa bureau position ni wa CPC
Halafu kwann mlimpa Raisi mstaafu HujiNtao karatasi yenye majina tofauti na wengine wakati wa kupiga Kura alipoonesha concern rais Xi akaagiza atolewe nje ya mkutano.
We know everything usisingizie alikuwa mgonjwa.
Kwa Nini alitolewa kikaoni kwa kulazimishwa. Video inaonesha akiwa anataka kuongea na waziri mkuu lakini Xi kamzui na kuwaambia askari wamtoe nje?Ubabe upi ulio tumika ? Naomba uueleze umma yale uyafahamuyo kuhusu former general Secretary ili tupate kuelimika
Serikali ya China haiongozwi na mtu mmoja bali chama cha kikomunisti ndicho kinacho ongoza serikali ya China.Xi is a strongman...I just wonder what will happen if he happens to suddenly die. He has not groomed any successor for the next 20 years. The old guard can't rule China with 80's and 90's thinking. I feel sorry for the lost generation of those who were born in early 80's and 90's.
Hu Jintao ana matatizo ya kiafya.Kwa Nini alitolewa kikaoni kwa kulazimishwa. Video inaonesha akiwa anataka kuongea na waziri mkuu lakini Xi kamzui na kuwaambia askari wamtoe nje?
Braza consensus ilikua kwa Deng, Jiang na Hu. Sasa hivi Xi alitaka wasilale hawalali. 2018 alibadilo katiba kumruhusu kuendelea kuwa katibu mkuu wa chama na Raisi wa nchi. 2023 kachagua timu ya watu saba isiyokua na mtu mwenye umri chini ya 60. Pia amehakikisha falsafa yake imewekwa kwenye katiba. Member wa politburo na alternative wote ni watu walio chini yake wote. Hakuna mtu kutoka Shangazi clique Wala chama Cha vijana Cha kikomunisti. Wateule wote ni watu waliofanya kazi nae. Subiri kuona namna anavyoenda kuigandamiza jamii ya kichina. Atleast Ile kufanya maamuzi kwa consensus kulifanya wasirudie ya 1968 lakini Sasa ni nani wa kufunga paka kengele?Serikali ya China haiongozwi na mtu mmoja bali chama cha kikomunisti ndicho kinacho ongoza chama cha kikomunisti cha China.
Mwaka 1976 Chairman Mao Zedong alifariki akiwa bado kiongozi lakini hakuna matokeo hayo unayo mtabiri Xi kutokea
Kwamba wakati anaingia kwenye kikao yeye hakujijua ni mgonjwa?Hu Jintao ana matatizo ya kiafya.
Nahitaji uelezee yale unayo fahamu kuhusu Hu lakini bado mpaka sasa hajafanya hivyo. Why
Kwa Nini alikua anagoma kutoka? Kwa Nini alimshika Premier Li? Kwa ni Xi alikua analazimisha walinzi wamtoe nje?Aliingizwa na walinzi wake wanao fuatilia maendeleo ya afya yake