Yote ni dhahiri mno na tunayaona kote bungeni na hata serikalini:
"Dhuluma dhidi yetu haziwezi kuachwa ziondoke zenyewe au kuachiwa mtu aje na huruma zake kuziondoa au kuachiwa kudra zake mola."
Tumefikishwa hapa kwa sababu ya unyonge wetu, woga wetu, ujinga wetu, hofu zetu, utengamano wetu nk.
Inataka juhudi zetu sote kuhakikisha kuwa haki zetu zote zinapatikana na kuheshimiwa na wote bila kujali vyeo au nafasi zao katika jamii.
Katiba mpya ndiyo linalopaswa kuwekwa wazi kuwa ndiyo lililo hitajio letu kuu kwa sasa.
Enyi CDM, ACT, CUF, madhehebu za dini, asasi za kiraia, nk muda wa kufanya kweli ni huu.
Ni vizuri mama na washirika wake wakafahamu tunahitaji mwanzo mpya kabisa.
Tunahitaji mwanzo utakaotibu vidonda vilivyo sababishwa na awamu iliyopita.
Tunahitaji mwanzo huu sasa.
Ninawasilisha.