- Thread starter
- #21
Kwa Tanzania, its very unfortunately hatuna any serious and credible opposition, hivyo tuna chama kimoja tuu, the one and only na kitatawala milele!. Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
P
Yawezekana uko na hoja mkuu kwa hakika si bure