Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

Kwanin sasa musiwadai muliowapa dhamana ya kuwalinda? Andamana nenda ubalozi wa israel kadai coz wao ndy tuliwapa dhaman ya kuwalinda,tukiwadai wao watafanya jitihada kuwafata huko kwa KAMAS
 
Kwanin sasa musiwadai muliowapa dhamana ya kuwalinda? Andamana nenda ubalozi wa israel kadai coz wao ndy tuliwapa dhaman ya kuwalinda,tukiwadai wao watafanya jitihada kuwafata huko kwa KAMAS
Palestina ina mamlaka yake inajitegemea na Tanzania tunawatambua kama taifa na wana ubalozi Tanzania kwa nini tudai Israel wakati Tanzania kuna ubalozi wa nchi ya Palestina ambako Hamas wako chini yao?

Tanzania tuna ubalozi wa Israel na Palestina


Hili swala la watanzania wenzetu waliotekwa liinamhusu balozi wa Palestina waliko Hamas sio balozi wa Israel

Maandamano yanamhusu huyo balozi wa Palestina sio Israel
 
NakaziašŸ“Œ
Ingawa ingefaa kusema watanzania waandamane (siyo vyama tu)
Maandamano yanatakiwa kuwa na kiongozi

Vyama nimesema vya siasa vina wafuasi wengi wao ndio wa take leading role
.pia watetea haki za binadamu na wana harakati na vyombo vya habari wa take leading role watanzania wenzetu waachiwe wanaoshikiliwa mateka na Hamas

Viongozi wa makundi mbalimbali wahusike hili watanzania watakuwa nyuma yao
 
Magazeti yote kesho naomba vichwa vya habari kama mnataka yauzike ukurasa wa kwanza Andikeni watanzania wataka watanzania wenzao waliotekwa na kushikiliwa na Hamas waachiwe

Sio lazima wa quote Jamii Forums waweza sema tu wananchi tuliowahoji mitaani
.cha msingi dunia na Hamas wasikie tunataka wawaachie watanzania wenzetu huru who takes the credit sio la msingi sana tunataka watu wetu waachiwe huru na Hamas
 
Kama Wana mawe kwanini wasingerusha mawe. wakarusha maroketi?.
 
Kifupi serikali ya Mama Samia ihakikishe hao watanzania wenzetu wakiotekwa na Hamas wanaachiwa na wanarudi salama kwenye familia zao wakiwa wazima bila mikwaruzo

Kazi ya serikali ni kulinda raia wake walio ndani ya nchi na nje ya nchi

Tunashukuru akiokoa wanafunzi na waliokuwa Sudan Kaskazini akatuma hadi ndege wengi walikuwa wazanzibari waislamu wasoma vyuo Sudan

Zikatumika ndege zetu na gharama za muungano kuwaleta hao wazanzibari wakio wemgi ule msafara

Tunataka watanzania bara wenzetu waliotekwa na Hamas serikali ya Mana Samia ifanye lolote iwalete

Hawa waliotekwa wanaotoka Tanzania bara Raisi Sam ahakikishe Hamas wanawaachia na anawaleta Hawa wako kwenye hatari kubwa kuliko wale wazanzibari wengi waislamu waliokuwa Sudan kaskazini wakisoma

Tunataka watanzania bara wenzetu
 
Mishabiki ya Hamas nadhni itatulia kwa sasa at least kwa news hii.. Japo Hamas washatangaza kuwa Mateka 50 washadedi tayari sababu ya Air Strikes
 
Mishabiki ya Hamas nadhni itatulia kwa sasa at least kwa news hii.. Japo Hamas washatangaza kuwa Mateka 50 washadedi tayari sababu ya Air Strikes
Wa kwetu tunataka waletwe wawe hai au maiti

Wasingetekwa wasingeuawa wangekuwa vyuoni kwao wanaendelea na maisha yao

Kwa nini Hamas wateke watu wetu watanzania? .

We want them alive or dead watanzania wenzetu

Hamas wasituletee ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…