Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Kwanin sasa musiwadai muliowapa dhamana ya kuwalinda? Andamana nenda ubalozi wa israel kadai coz wao ndy tuliwapa dhaman ya kuwalinda,tukiwadai wao watafanya jitihada kuwafata huko kwa KAMASTunadai watu wetu watanzania wenzetu hayo mambo yao ya Israel na Hamas hayatuhusu kwenye hili la mateka washikiliwa na Hamas .Tunataka Hamas wawaachie watanzania wenzetu waliowateka na wanaowashikilia
Mambo yao ya Hamas na Israel yao tunataka Hamas waachie Watanzania wenzetu nani ana vifaa nani hana hayatuhusu
Hamas ndio wanasshikilia watanzania wenzetu mateka wawaachie