Maana yake inajulikana na Jaji mwenyewe.Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa.
Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu wanafadhili wimbi hili jipya la kuzuka kwa vyama vingi vya siasa kiasi hiki?
Jaji mwenyewe huyu ni wa mchongo!Maana yake inajulikana na Jaji mwenyewe.
Anasubiri ruhusa ya kuvisajili maana nchi hii imekabwa kisawasawaMsajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa.
Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu wanafadhili wimbi hili jipya la kuzuka kwa vyama vingi vya siasa kiasi hiki?
Alichongwa na nani?Jaji mwenyewe huyu ni wa mchongo!
Anadai anahakiki kwanza vilivyopo ndipo asajili vipya!Anasubiri ruhusa ya kuvisajili maana nchi hii imekabwa kisawasawa
Na CCM! Ni kada mwaminifu.Alichongwa na nani?
Ametumia kifungu gani cha sheria kuchelewesha usajili wa vyama hivyo?Anadai anahakiki kwanza vilivyopo ndipo asajili vipya!
Vyama vya namna hiyo haviwezi kufutwa kwa kuwa ndiyo mtaji wa kisiasa wa CCM!Chama ambacho hakina wawakilishi bungeni chapaswa futwa
Siyo kwamba aliumbwa na Mungu!!Na CCM! Ni kada mwaminifu.
Nadhani masharti yawe magumu kidogo kusajili chama kipya lazima uwe na wanachama anghalau laki 5Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa.
Je hali hii ni kukomaa kwa demokrasia nchini au ni fujo za kisiasa tutegemee? Je vyama vya siasa takribani 20 vilivyopo havitoshi kukidhi matarajio ya kisiasa kwa wananchi? Je kuna watu wanafadhili wimbi hili jipya la kuzuka kwa vyama vingi vya siasa kiasi hiki?
Hii ni dalili kubwa ya umaskini.Msajili wa vyama vya siasa Jaji Mutungi amesema kuna vyama vya siasa vipya vipatavyo 18 vimeomba kusajiliwa.