Vyama vya siasa vipya 18 kuomba usajili ni kukua kwa demokrasia nchini au ni fujo?

Hii ni dalili kubwa ya umaskini.

Marekani Taifa kubwa lina vyama vikubwa 2 vya siasa.

Tanzania maskini wa kutupwa, vyama zaidi ya ishirini. Ukiongeza na hivyo 18? Jibu unalo.
Kila inapokaribia uchaguzi CCM huanza kutengeneza mbinu za kuiba kura na kuvitengenezea vyama serious figisu!
 
Hatujavisikia vikitangaza nia hadharani. Politics is the most public affairs venture.

Sidhani mtu mwenye nia ya kusajili chama cha siasa anaweza kuibukia kisiri kwa Msajili kabla hajafanya ground work na hata kuitisha PC kuarifu media na umma kuhusu nia, kusudio na sababu za kuanzisha chama kipya cha siasa.
 
Bila shaka yo yote hukusikiliza taarifa ya habari ya TBC Taifa jana saa 10 jioni. Msajili alitoa sababu.
 
Back
Top Bottom