Zoezi hili limekuwa la AIBU kubwa kwa nchi inayoongozwa kwa sheria, taratibu na kanuni. Iweje marehemu, watoto wenye umri wa chini ya miaka 18, walioachana na waume zao na hawapo kwenye eneo hilo mfano Wilaya ya Tarime waandikishwe?.
Mimi niliitwa na CHAMA fulani kuwa niorodheshwe lakini nikwaambia mimi ni mtu mzima sitaki mchezo kama huo.
Vyama vya upinzani mnatakiwa mjilaumu wenyewe kwa kutumia daftari badala ya kadi za kupigia kura ambapo pasingekuwa na kasoro kama hizi. Hivci hii nchi tunaipeleka wapi?.