Pre GE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

Pre GE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Matapeli ni matapeli tu watu wapo kazini Baada ya watu kukosa ajira wakaamua wajiajiri kwa kuanzisha vyama vya siasa

Vyama vingine ata ofisi havina
Vingine ni matawi ya CCM
🤣🤣🤣🤣
 
Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo.

Mtanzania kataa huo utapeli.

# Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
Watakaoitoa CCM madarakani ni wapiga kura wanaojitambua. So far siwaoni Labda tusubiri miaka 30 ijayo.
 
Back
Top Bottom