Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakaoitoa CCM madarakani ni wapiga kura wanaojitambua. So far siwaoni Labda tusubiri miaka 30 ijayo.Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo.
Mtanzania kataa huo utapeli.
# Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?