YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
DOMO krasia na DEMO krasia Ni maneno mawili tofauti kwenye siasa
DOMO krasia Ni Uhuru wa kuongea chochote kiwe na mantiki au la kisa tu DOMO ni jumba la maneno hivyo lazima mtu aongee
DEMO krasia ni ku demonstrate halafu ndio unongea yaani mfano unasomesha kiongozi mkuu wa chadema ambaye Ni Division zero ukishasomesha ndio unatamka kuwa kipau mbele chetu kama chama Ni elimu
Kwenye DOMO krasia Ni kupiga DOMO tu bila demonstration yeyote
Upinzani Tanzania unalilia DOMO krasia ndio maana wananchi wanawapuuza
Wananchi wanataka DEMO krasia sio DOMO krasia ndio Maana Magufuli huongelea yaliyofanywa na serkali ya awamu ya tano sababu yeye Ni mwana DEMO krasia sio Mwana DOMO krasia