mr chopa
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 5,296
- 13,744
Huna hoja Kama ilivyo kawaida ya nyumbu za ufipaHaya mazezeta ukiyafuatilia kwa makini utakuta yanatokea pande za sengerema, yamekuwa mamisukule ya gamboshi na hayana aibu.

Ahaa nyie magu magu mnaudhi kwa ujinga wenu, jikomboeni na ccm nyie mnafikiri magu atawajengea nyumba na kuwapa hela za matumizi? Badilisheni mfumo, mfumo ndio wenye kuamua maisha yenu sio magu.Huna hoja Kama ilivyo kawaida ya nyumbu za ufipa
Nyie nyumbu za ufipa mnavyo fumbia macho uchafu wa chadomo mnafikiri mtalipwa Mishahara na ahmada au? Fungukeni akili bila kusahau kupiga kazi. Hapa kazi tu!!Ahaa nyie magu magu mnaudhi kwa ujinga wenu, jikomboeni na ccm nyie mnafikiri magu atawajengea nyumba na kuwapa hela za matumizi? Badilisheni mfumo, mfumo ndio wenye kuamua maisha yenu sio magu.
Aliwazalo mpumbavu ndio hutamkaMwana DOMO krasia naona unaongea
Tubishane kwa hoja sio viojaIla ingesemwa chichiemu usingeenda kusema kwa baba..[emoji28]
Subiri kwanza nile maana najua nikikushinda utakimbilia kunitishia kwenye hirizi pumuzi..😜Tubishane kwa hoja sio vioja
Tundu Lisu DOMOcrat[emoji23][emoji1787]View attachment 1477173
UmenenaDOMO krasia na DEMO krasia Ni maneno mawili tofauti kwenye siasa
DOMO krasia Ni Uhuru wa kuongea chochote kiwe na mantiki au la kisa tu DOMO ni jumba la maneno hivyo lazima mtu aongee
DEMO krasia ni ku demonstrate halafu ndio unongea yaani mfano unasomesha kiongozi mkuu wa chadema ambaye Ni Division zero ukishasomesha ndio unatamka kuwa kipau mbele chetu kama chama Ni elimu
Kwenye DOMO krasia Ni kupiga DOMO tu bila demonstration yeyote
Upinzani Tanzania unalilia DOMO krasia ndio maana wananchi wanawapuuza
Wananchi wanataka DEMO krasia sio DOMO krasia ndio Maana Magufuli huongelea yaliyofanywa na serkali ya awamu ya tano sababu yeye Ni mwana DEMO krasia sio Mwana DOMO krasia
Labda kaweka vihoja [emoji23][emoji1787][emoji2960]Hoja gani uliyoweka mbona haipo
Gambo amewaita wewe na wenzako kuwa lazima ukizeeka mtakuwa vigagulaDOMO krasia na DEMO krasia Ni maneno mawili tofauti kwenye siasa
DOMO krasia Ni Uhuru wa kuongea chochote kiwe na mantiki au la kisa tu DOMO ni jumba la maneno hivyo lazima mtu aongee
DEMO krasia ni ku demonstrate halafu ndio unongea yaani mfano unasomesha kiongozi mkuu wa chadema ambaye Ni Division zero ukishasomesha ndio unatamka kuwa kipau mbele chetu kama chama Ni elimu
Kwenye DOMO krasia Ni kupiga DOMO tu bila demonstration yeyote
Upinzani Tanzania unalilia DOMO krasia ndio maana wananchi wanawapuuza
Wananchi wanataka DEMO krasia sio DOMO krasia ndio Maana Magufuli huongelea yaliyofanywa na serkali ya awamu ya tano sababu yeye Ni mwana DEMO krasia sio Mwana DOMO krasia
Naona Gambo kakutaja wewe kimtindoWanalilia domo krasia km anavyofanya jamaa anayehutubia kupitia Facebook
Kabisa Tundu Lisu Ni mwana DOMO krasia hasa
JamiiForums.... Jukwaa linadhalilika kwa nyuzi mfululizo za namna hii... Hebu ongezeni umakini tafadhali...
Nimesoma tu kichwa cha habari nikagundua ni mafi matupuDOMO krasia na DEMO krasia Ni maneno mawili tofauti kwenye siasa
DOMO krasia Ni Uhuru wa kuongea chochote kiwe na mantiki au la kisa tu DOMO ni jumba la maneno hivyo lazima mtu aongee
DEMO krasia ni ku demonstrate halafu ndio unongea yaani mfano unasomesha kiongozi mkuu wa chadema ambaye Ni Division zero ukishasomesha ndio unatamka kuwa kipau mbele chetu kama chama Ni elimu
Kwenye DOMO krasia Ni kupiga DOMO tu bila demonstration yeyote
Upinzani Tanzania unalilia DOMO krasia ndio maana wananchi wanawapuuza
Wananchi wanataka DEMO krasia sio DOMO krasia ndio Maana Magufuli huongelea yaliyofanywa na serkali ya awamu ya tano sababu yeye Ni mwana DEMO krasia sio Mwana DOMO krasia
Mwana DOMO krasia naona unaongea
Ujumbe umemuumiza moyo. Maana Chadema hawana hoja zaidi ya kupiga domo.Kwani Kuna Sheria yeyote ya jamii forums imevunjwa?