Vyama vya upinzani Tanzania vinalilia domokrasia sio demokrasia

Huna hoja Kama ilivyo kawaida ya nyumbu za ufipa
Ahaa nyie magu magu mnaudhi kwa ujinga wenu, jikomboeni na ccm nyie mnafikiri magu atawajengea nyumba na kuwapa hela za matumizi? Badilisheni mfumo, mfumo ndio wenye kuamua maisha yenu sio magu.
 
Ahaa nyie magu magu mnaudhi kwa ujinga wenu, jikomboeni na ccm nyie mnafikiri magu atawajengea nyumba na kuwapa hela za matumizi? Badilisheni mfumo, mfumo ndio wenye kuamua maisha yenu sio magu.
Nyie nyumbu za ufipa mnavyo fumbia macho uchafu wa chadomo mnafikiri mtalipwa Mishahara na ahmada au? Fungukeni akili bila kusahau kupiga kazi. Hapa kazi tu!!
 
Hapa ndipo tatizo lilipo,ushabiki wenu wa kitoto mnaingiza majina ya Miji bila kujali miji hiyo ina wanachama wa vyama vyote,jukwaa limejaa maneno na ujinga mwingi usio na sababu ya kuendekezwa.
 
Umenena
 
Gambo amewaita wewe na wenzako kuwa lazima ukizeeka mtakuwa vigagula
 
Nimesoma tu kichwa cha habari nikagundua ni mafi matupu
 
Demokrasia inazo gharama zake moja ya gharama hiyo ni kutoa Uhuru kwa kila kundi ktk jamii kutoa maoni yake na unapaswa kuyasikiliza hata ukiwauyapendi ilimradi tu maoni hayo hayafunji sheria.

Na kwa kuzingatia hilo ndo maana umeandika utopolo huu lakini bado tunaijadili humu[emoji848]
 
domokrasia tayari IPO, ushahidi cheki bungeni jinsi kina msukuma wanavyoshirikiana na spika wao kuvuruga hotuba za wapinzani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…