Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua fomu ya kugombea tume ya uchaguzi hivyo kupoteza nafasi ya kuwa na mgombea uraisi Sababu hakuna ndege ya kumleta Tanzania
Wachina na wazungu wanaoishi China Ambako usafiri unaruhusiwa Hong Kong
Oct ni mbali kidogo chochote kinaweza kutokeaMkuu hakuna ndege zinaruka toka ubelgiji au marekani au ulaya kuja Tanzania hilo haliitaji hata rocket science kulijua. Anga zao hazijafunguliwa
October ni kupiga kura sio kuchukua fomu ya ugombea uraisi tume ya uchaguzi. Tume hutoa fomu mapema sana na kuna deadline ili mtu atafute wadhamini kisha arudishe hilo zoezi halifanyiki october!!!Oct ni mbali kidogo chochote kinaweza kutokea
Hoja dhaifu sanaKwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua fomu ya kugombea uraisi tume ya uchaguzi hivyo kupoteza nafasi ya kuwa na mgombea uraisi Sababu hakuna ndege ya kumleta Tanzania
Jamaa mnamuogopa sana Lissu. Pamoja na risasi 38 bado tu mnaogopa hata kivuli chake?Mkuu hakuna ndege zinaruka toka ubelgiji au marekani au ulaya kuja Tanzania hilo haliitaji hata rocket science kulijua. Anga zao hazijafunguliwa
mwaka 2015 uchaguzi mkuu fomu za ugombea uraisi zilitolewa na tume ya uchaguzi mwezi July.Mwaka huu sijui ina maana kama wakitoa mwezi July kama walivyofanya 2015 ina maana wiki chache tu zimebaki ndege za ulaya bado kuruhusiwa. Ratiba tume bado hawajatoaOct ni mbali kidogo chochote kinaweza kutokea
Vichwa wazi huwa hawakumbuki yaliyopita. Kuna ndege ilishusha watalii wawili wakaifanyia hata water salute. Wizara yote ilihamia KIA. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Hii nchi ina mazingaombwe ya kufa mtu.Hapo watalii mnaotangaza wanakuja Tz mnawaletaje?
Kocha wa Yanga wiki iliyopita katokea brussels to dar,mkuu ebu fanya research kwanza kabla ya kuanzisha madaMkuu hakuna ndege zinaruka toka ubelgiji au marekani au ulaya kuja Tanzania hilo haliitaji hata rocket science kulijua. Anga zao hazijafunguliwa
Ile ndege haikutokea ulaya!! Ulaya hazijaanza kuja ziko kwenye lock downVichwa wazi huwa hawakumbuki yaliyopita. Kuna ndege ilishusha watalii wawili wakaifanyia hata water salute. Wizara yote ilihamia KIA. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Hii nchi ina mazingaombwe ya kufa mtu.