Uchaguzi 2020 Vyama vya Upinzani teueni Mgombea Kati ya walioko Tanzania ndege za ulaya hazisafiri hazijulikani lini zitaanza sababu ya Corona

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza

Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua fomu ya kugombea uraisi tume ya uchaguzi hivyo kupoteza nafasi ya kuwa na mgombea uraisi Sababu hakuna ndege ya kumleta Tanzania
 
Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua fomu ya kugombea tume ya uchaguzi hivyo kupoteza nafasi ya kuwa na mgombea uraisi Sababu hakuna ndege ya kumleta Tanzania

Hapo watalii mnaotangaza wanakuja Tz mnawaletaje?
 
Mkuu hakuna ndege zinaruka toka ubelgiji au marekani au ulaya kuja Tanzania hilo haliitaji hata rocket science kulijua. Anga zao hazijafunguliwa
Oct ni mbali kidogo chochote kinaweza kutokea
 
October ni kupiga kura sio kuchukua fomu ya ugombea uraisi tume ya uchaguzi. Tume hutoa fomu mapema sana na kuna deadline ili mtu atafute wadhamini kisha arudishe hilo zoezi halifanyiki october!!!
 
Usiwe na papara wenye vyama wanajua nini cha kufanya, muhimu tuendelee kujifukiza tu kwa sasa.
 
Kwa sababu ya Corona ndege za kutoka ulaya kuja Tanzania hazipo na hazijulikani lini zitaanza

Kwenye mchakato wa uteuzi wa mgombea uraisi chadema na vyama vingine vya upinzani ni vizuri vikateua wagombea uraisi waliomo ndani ya Tanzania. Wasije poteza kwa kuteua mtu ambaye hataenda kuchukua fomu ya kugombea uraisi tume ya uchaguzi hivyo kupoteza nafasi ya kuwa na mgombea uraisi Sababu hakuna ndege ya kumleta Tanzania
Hoja dhaifu sana
 
Akisha tangazwa ni mgombea wa urais, elewa usafiri lazima uwepo uwe unafikiria vizuri, jambo dogo kama hilo sio unaanza kutusumbua..

Tunajipanga ada ya watoto.
 
Oct ni mbali kidogo chochote kinaweza kutokea
mwaka 2015 uchaguzi mkuu fomu za ugombea uraisi zilitolewa na tume ya uchaguzi mwezi July.Mwaka huu sijui ina maana kama wakitoa mwezi July kama walivyofanya 2015 ina maana wiki chache tu zimebaki ndege za ulaya bado kuruhusiwa. Ratiba tume bado hawajatoa
 
Hapo watalii mnaotangaza wanakuja Tz mnawaletaje?
Vichwa wazi huwa hawakumbuki yaliyopita. Kuna ndege ilishusha watalii wawili wakaifanyia hata water salute. Wizara yote ilihamia KIA. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Hii nchi ina mazingaombwe ya kufa mtu.
 
Mkuu hakuna ndege zinaruka toka ubelgiji au marekani au ulaya kuja Tanzania hilo haliitaji hata rocket science kulijua. Anga zao hazijafunguliwa
Kocha wa Yanga wiki iliyopita katokea brussels to dar,mkuu ebu fanya research kwanza kabla ya kuanzisha mada
 
Sheria ya uchaguzi inavitaka vyama vya siasa nchini kuungana kwa uamuzi toka vikao halali vya vyama husika, na sio maamuzi au UTASHI wa viongozi.

Lakini pia isiwe chini ya miezi mitatu.
Tangu uamuzi wa kuviunganisha vyama kuamuliwa.
 
Vichwa wazi huwa hawakumbuki yaliyopita. Kuna ndege ilishusha watalii wawili wakaifanyia hata water salute. Wizara yote ilihamia KIA. [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]. Hii nchi ina mazingaombwe ya kufa mtu.
Ile ndege haikutokea ulaya!! Ulaya hazijaanza kuja ziko kwenye lock down
 
Back
Top Bottom