Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

Kwani hata Komandoo Urio ni Mstaafu? Sema tu kwamba Chadema imekamata nchi tayari, na hamuwezi kuwamaliza maana wapo hadi Magogoni
 
Muda mwingine ficha ujinga wako, ni makamanda wangapi wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu wako CCM? Adadi Rajab yuko wapi? au ccm ndio wako exempted kuwa na hao watu? shame on you
 
Uzi huu ni kama takataka zilizo sehemu safi!
 
Nonsense

Una mawazo ya kibunuhasi
 
Mbona CCM haitumii Wastaafu inatumia mpaka Waliopo kwenye Ajira

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Chadema HAIFUTIKI kashindwa MWENDAZAKE

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Chanzo cha hao CHADEMA kuamua kutafta ulinzi wa hao wastaafu ni ukatili na ukandamizaji unaofanywa na chama chako.

Hata mbwa wako wa kumfuga nyumbani ukizidisha uonevu kuna siku lazima atakung'ata tu kwakua viumbe vyote hapa duniani vina ukomo katika uvumilivu.

Hivyo kabla ya kutoa ushauri kama huo ungeshauri kwanza CCM ivitendee haki vyama vyote vya siasa, iendeshe nchi kwa mujibu wa katiba na mahtaji ya wakati.

Tulishaingia mfumo wa vyama vingi bado ccm inalazimisha ishinde majimbo yote na kuunda bunge la chama kimoja , hivi ukatili kama huu unazani wapinzani wataendelea kuuvumilia mpaka lini.

Kule tu kuingia katika mfumo wa vyama vingi maana yake katiba yetu tayari ilifungua milango ya uongozi wa kupokezana kijiti au wa mseto na si haya yanayofanywa na ccm.

Wanaweza kudhani ni salama lakini ukweli hii ni hatari kubwa CCM inaitengeneza kwa mikono yake, kuna kizazi kinakuja haya mambo hakita vumilia hata chembe.
 
Chadema wanataka kuwatumia kwa nia ovu ya Ugaidi na kuunda Jeshi la uasi

Kama hili ni kweli ni kama limechelewa, maana hadi sasa CCM iko madarakani kwa nguvu za dola, na sio kwa ridhaa ya wananchi.

CDM wanatakiwa wawekeze kwa nguvu zao zote kwenye vyombo vya dola na maofisa wake, kwani imedhihirika pasi na shaka ili ukae madarakani sio kusubiri kura za wananchi, bali ni mafungamano yako na vyombo vya dola.
 
Tena kwenye daftari la wanachama wa chadema sidhani kama majina ya hao Makomandoo yapo.

Hao walikuwa ni misheni maalumu.
 
Mbona watu mnzungumzia vitu ambavyo viko juu ya uwezo wenu, makampuni ya ulinzi viongozi wake ni wastaafu wa jeshi, KWa iyo makampuni ya ulinzi nayo unayaweka upande GANI ,utasema wamesagiliwa, hata chadema ni chama na kimesajiliwa ,Kuna kitengo Cha ulinzi KWa viongozi, Kama ilivyo ccm iliyojaza watu wa namna hiyo tena wanaokula mshahara wa serikali

Sasa chadema kuchukua maafisa wastaafu hata wangekua mia, kuimarisha ulinzi wa KWa viongozi ndo unakuja na kelele mfu za kitoto,
Katibu mkuu wenu alindwi?
Vipi Makam mwenyekiti,
Vipi mwenyekiti wenu ,najua utasema ni Rais, hapa nazungumzia chama,

Ccm mpaka wenyeviti wa mkoa wanalindwa,

Hizo propaganda mfu Chadema ilishavuka, subilin2025 kukabidhi nchi full stop
 
Uende mahakanani usaidie kutoa ushahidi
 
Nilitaka nikujibu kwa hoja ila nilipo angalia jina lako
 
Vyama vingi vimeanzishwa kwa mujibu wa katiba na sheria. Kila raia ana haki ya msingi ya kujilinda yeye binafsi na wengine. Wananchi wote ambao hawajakatazwa kisheria wanaweza kujiunga na chama chochote au kutoa huduma kwa chama chochote bila kuvunja sheria.

Kuna tofauti kati ya nchi, taifa, vyombo vya dola na vyama vya siasa, na wengi hawajui tofauti hii kwa sababu ya ujinga tu. Wastaafu wote wana haki ya kujiunga na chama chochote na vyama vyote ni sawa kwa mujibu wa katiba na sheria.

Tatizo la utekelezaji wa mfumo wa vyama vingi ni watumishi wa uma wenye ubinafsi (amblo ni kosa la kisheria na kimaadili) kupendelea chama tawala kwa maslahi binafsi ya malipo ya moja kwa moja au vyeo na pia ujinga katika utekelezaji wa majukumu yao.
 
Ni chama Cha kikabila, profesa Jay sio wa huko kwao ndio maana Malisa haitishi michango ya kumsaidia
Kwa maneno haya unayoongea hata mimi sasa nimeamini utafiti wa TWAWEZA ulikuwa sahihi kwa 100% haijalishi una elimu kiasi gani kwa ujinga huu wewe ni sampuli halisi ya TWAWEZA.
 
Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…