Vyombo vya Dola vichimbue kwa kina muelekeo wa CHADEMA kutumia waliokuwa Maafisa wa Jeshi katika shughuli zake, naona wana nia ovu kwa usalama wa nchi

Sheria ibadilishwe, mjeshi wa ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kuajiriwa kufanya shughuli inayohusisha mafunzo yake kama anataka kuifanya nje ya Jeshi na serikali
 
Sheria ibadilishwe, mjeshi wa ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kuajiriwa kufanya shughuli inayohusisha mafunzo yake kama anataka kuifanya nje ya Jeshi na serikali
Peleka haraka kwenye bunge la Tulia
 
Ingekuwa vizuri ungeambatanisha na kifungu Cha katiba au sheria iliyovunjwa ili kurahisisha mjadala. Vingine ni upunguani tu unakusumbua.
 
Kuna sheria inayowaruhusu na wametambulika kisheria.

Na huko ndio kina mbowe walipaswa kwenda kuomba ulinzi wa VIP protection.

Sio kukusanya Makomandoo waliofukuzwa jeshini kwa utovu wa nidhamu.

Tena unawapa majukumu kinyemela tu.
Yupo aliyemiminiwa mvua ya masasi, yupo aliyevunjwa mguu, wapo waliotekwa, wapo waliotoweka, wapo waliokufa, kisa waliopaswa kulinda usalama wao waliamua kuwawinda🤔🤔.Sasa wangojee kuwindwa tu.?
 
Ingekuwa vizuri ungeambatanisha na kifungu Cha katiba au sheria iliyovunjwa ili kurahisisha mjadala. Vingine ni upunguani tu unakusumbua.
Changia mada
 
Wewe ni chinembe au ki...?
Basi jitulize au kitulize!!
 
Un
Kwani hata Komandoo Urio ni Mstaafu? Sema tu kwamba Chadema imekamata nchi tayari, na hamuwezi kuwamaliza maana wapo hadi Magogoni
Ningekuwa mimi ningekuunganisha
 
CHADEMA ni zaidi ya dini, mkiifuta Ufipa, itaibuka kivingine.
 
Ila Kuna watu mna matatizo kweli katika hii dunia. Yaani umekaa ukaitumia akili yako kabisa na kuhitimisha mawazo yako kwa jinsi hii!!!! Bado ukaona haitoshi, ukayatoa kwa jamii ili na wewe uhesabiwe Kuwa unao uwezo wa kutumia akili katika maisha yako.
Hii ni hatari Sana kwa jamii ya kidemokrasia. Lakini haya yote ni matunda ya kujilisha upepo maana kikutokacho moyoni kinaakisi ulivyo.
Yote kwa yote, hongera Sana kwa ujinga huu!!!!!!!
 
Kimtazamo mdogo tu kichwan una haja kubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…