Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hovyooo.Chadema wanataka kuwatumia kwa nia ovu ya Ugaidi na kuunda Jeshi la uasi
Chadema wanataka kuwatumia kwa nia ovu ya Ugaidi na kuunda Jeshi la uasi
Peleka haraka kwenye bunge la TuliaSheria ibadilishwe, mjeshi wa ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kuajiriwa kufanya shughuli inayohusisha mafunzo yake kama anataka kuifanya nje ya Jeshi na serikali
Hao wanafanya Siasa, hawa wengine wa chadema wanaunda Jeshi
Ingekuwa vizuri ungeambatanisha na kifungu Cha katiba au sheria iliyovunjwa ili kurahisisha mjadala. Vingine ni upunguani tu unakusumbua.Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.
Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.
Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.
Kama nia hiyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini.
Sheria ibadilishwe, Mjeshi wa mafunzo au ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kufanya kazi inayohusisha mafunzo aliyopata jeshini, kama anataka kufanya kazi hiyo nje ya jeshi
Yupo aliyemiminiwa mvua ya masasi, yupo aliyevunjwa mguu, wapo waliotekwa, wapo waliotoweka, wapo waliokufa, kisa waliopaswa kulinda usalama wao waliamua kuwawinda🤔🤔.Sasa wangojee kuwindwa tu.?Kuna sheria inayowaruhusu na wametambulika kisheria.
Na huko ndio kina mbowe walipaswa kwenda kuomba ulinzi wa VIP protection.
Sio kukusanya Makomandoo waliofukuzwa jeshini kwa utovu wa nidhamu.
Tena unawapa majukumu kinyemela tu.
Akili fupiHao wanafanya Siasa, hawa wengine wa chadema wanaunda Jeshi
Wewe ni chinembe au ki...?Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.
Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.
Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.
Kama nia hiyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini.
Sheria ibadilishwe, Mjeshi wa mafunzo au ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kufanya kazi inayohusisha mafunzo aliyopata jeshini, kama anataka kufanya kazi hiyo nje ya jeshi
Ni wataafu sio wafurumushwaZelothe Stephen,Kanali Mwakibinga,Kanali Kinana na wengineo wapo Chama gani kwani?
Ningekuwa mimi ningekuunganishaKwani hata Komandoo Urio ni Mstaafu? Sema tu kwamba Chadema imekamata nchi tayari, na hamuwezi kuwamaliza maana wapo hadi Magogoni
CHADEMA ni zaidi ya dini, mkiifuta Ufipa, itaibuka kivingine.Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.
Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.
Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.
Kama nia hiyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini.
Sheria ibadilishwe, Mjeshi wa mafunzo au ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kufanya kazi inayohusisha mafunzo aliyopata jeshini, kama anataka kufanya kazi hiyo nje ya jeshi
Ila Kuna watu mna matatizo kweli katika hii dunia. Yaani umekaa ukaitumia akili yako kabisa na kuhitimisha mawazo yako kwa jinsi hii!!!! Bado ukaona haitoshi, ukayatoa kwa jamii ili na wewe uhesabiwe Kuwa unao uwezo wa kutumia akili katika maisha yako.Mbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.
Ila napendekeza, uchunguzi mkali uanzishwe kujua kina hasa nia ya Chadema, labda wanataka kuunda Jeshi la uasi, kitu ambacho ni hatari sana.
Sheria ya vyama vya siasa iangalie namna ya kufuta vyama vya aina hii vinavyohatarisha amani ya nchi. Vyombo vya dola visilale, vifuatilie maafisa wa aina hii, na wachukuliwe hatua kali sana.
Kama nia hiyo ipo, Chadema ivunjwe kwa mujibu wa Sheria, na maafisa wake wote washtakiwe kwa kesi ya uhaini.
Sheria ibadilishwe, Mjeshi wa mafunzo au ngazi fulani lazima apate kibali Cha mkuu wa Majeshi kabla ya kufanya kazi inayohusisha mafunzo aliyopata jeshini, kama anataka kufanya kazi hiyo nje ya jeshi
Kimtazamo mdogo tu kichwan una haja kubwa tuMbuyu ulianza kama mchicha. CHADEMA ni kama wanaunda Jeshi lao kimyakimya kwa kutumia maafisa waliokuwa jeshini. Wanawatumia hawa kwa kuwarubuni na fedha, na wanawapa maelekezo watafute maafisa wenzao ili liwe kundi kubwa, naipongeza serikali kwa kuwabaini mapema.