Habari za Leo wapendwa
Binafsi nina familia na ninaona namna familia yangu jinsi inavyopitia kipindi kigum kutokana na hii changamoto ya Maji.
Mimi nilikuwa nashauri Media zote nchini waandae Makala kuhusu upatikanaji wa Maji wazunguke mitaa yote jiji la Dar es salaam wahoji wananchi na waripoti changamoto hii Kisha wawahoji DAWASCO na waache kuripoti upande Mmoja Hali ya Maji ni mbaya sana hasa Kwa sisi Watanzania wenye kipato Cha chini
Media kuweni wabunifu mtoe habari critical na sio kutoa habari za udaku na uzinduzi mjaribu kufanya transformation angalia media za nje namna zinavyoripoti matukio mbalimbali nyie mpompo tu