Zanzibar 2020 Vyombo vya Habari kimataifa vimeanza kuripoti mauaji huko Pemba

kwani wana akili hata wapuuzi hao
Sitaki kuamini kwamba hawana akili, nadhani akili zao wamelazimisha ziamini kwamba CCM ndio ina haki ya kutawala milele hii Nchi.
 
Unafiki una mwisho.ccm hamko tayari kwa uchaguzi huru na hamwezi bila violence sasa majirani wamesikia mnalaumu nini?
 
MODs mbona threads Kama hii zinazozungumzia jambo hilo hilo HAMZIUNGANISHI? Lakini nyingine mnaunganisha?
 
Mungu wabariki Wazungu
 
Zanzibar hayakuanza leo na bado safari nI ndefu. Na huko nako itafika siku umma utasema: MPAKA HAPA BASI, INATOSHA!
Tuombe Mungu mabadiliko yaje kwa "Evolution" na sio kwa "Revolution"
 
Upuuzi mtupu kwahiyo watu wafanye Fujo waachwe
 
Bara mapoyoyo tu
 
Hawajawahi report vitu vyenye maslahi ya Tanzania

Zaidi wanareport vitu wanavyotamani wao ambavyo fine maslahi binafsi kwao na nchi zao
 
Upuuzi mtupu kwahiyo watu wafanye Fujo waachwe
Unafurahia watu kufa??? Vyombo vya usalama vimefundishwa mbinu Moja tu yakufyatua risasi za moto kwa waharifu??au zipo mbinu nyingne walizofundishwa?
 
Kwao na balozi wapo wamebana mat@ko na hofu ya uchaguzi wao kuingiliwa na Urusi na Iran....covid, nk habari za wapemba kuzichapa na polisi kwao sio habari wkati huu..
Mtoto naona unakata uno na ujauzito wako utatoka mamaaa
 
Ukitaka kuishi kwa AMANI, basi kubali KUONEWA au KUDHURUMIWA!
 
Unafurahia watu kufa??? Vyombo vya usalama vimefundishwa mbinu Moja tu yakufyatua risasi za moto kwa waharifu??au zipo mbinu nyingne walizofundishwa?
Risasi hutumika pale ambapo hakuna namna nyingine ya kuthibiti hali na hiyo ipo kwa mujibu wa sheria hakuna anayefurahia kifo ila ni jukumu la kila mmoja kijitahidi kuepukana na mazingira ambayo yanaweza msababishia kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…