MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 350
Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao.
Utagundua watu walilipa kwa sababu ya michezo hususani ya nje na si vipindi virushwavyo na vituo vyetu vya ndani. Nawashauri muwe mnaangalia hata Tv za Kenya, Uganda wanawazidi nini? Sijui nitumie neno gani kuwaelezea waandishi wa humu ndani, watu wasiojua halafu hawajui kama hawajui. mfano kipindi cha muziki dk.30, muziki utapigwa dk. 10 matangazo dk 5, maongezi ya mtangazaji dk.15.
Hawajielewi maskini watu hawataki kusikia maneno ya mtangazaji wanataka kusikia muziki, hata mtangazaji angekuwa na mbwembwe za namna gani watu wanataka kusikiliza muziki. Huu ni mfano mmoja tu sasa angalia kwa vipindi vyote stesheni zote halafu utawalaumu watanzania kwa kutopenda vya nyumbani!!!!!. TUJIFUNZE TUREKEBISHE TUNAPOTEZA SOKO BILA KUJUA