Vyombo vya habari: Tatizo ni nini?

Vyombo vya habari: Tatizo ni nini?

MANILABHONA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
462
Reaction score
350
Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao.

Utagundua watu walilipa kwa sababu ya michezo hususani ya nje na si vipindi virushwavyo na vituo vyetu vya ndani. Nawashauri muwe mnaangalia hata Tv za Kenya, Uganda wanawazidi nini? Sijui nitumie neno gani kuwaelezea waandishi wa humu ndani, watu wasiojua halafu hawajui kama hawajui. mfano kipindi cha muziki dk.30, muziki utapigwa dk. 10 matangazo dk 5, maongezi ya mtangazaji dk.15.

Hawajielewi maskini watu hawataki kusikia maneno ya mtangazaji wanataka kusikia muziki, hata mtangazaji angekuwa na mbwembwe za namna gani watu wanataka kusikiliza muziki. Huu ni mfano mmoja tu sasa angalia kwa vipindi vyote stesheni zote halafu utawalaumu watanzania kwa kutopenda vya nyumbani!!!!!. TUJIFUNZE TUREKEBISHE TUNAPOTEZA SOKO BILA KUJUA
 
Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV,STAR TIMES,AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao. Utagundua watu walilipa kwa sababu ya michezo hussusani ya nje na si vipindi virushwavyo na vituo vyetu vya ndani. Nawashauri muwe mnaangalia hata Tv za Kenya, Uganda wanawazidi nini?. Sijui nitumie neno gani kuwaelezea waandishi wa humu ndani, watu wasiojua halafu hawajui kama hawajui. mfano kipindi cha muziki dk.30, muziki utapigwa dk. 10 matangazo dk 5, maongezi ya mtangazaji dk.15. Hawajielewi maskini watu hawataki kusikia maneno ya mtangazaji wanataka kusikia muziki, hata mtangazaji angekuwa na mbwembwe za namna gani watu wanataka kusikiliza muziki. Huu ni mfano mmoja tu sasa angalia kwa vipindi vyote stesheni zote halafu utawalaumu watanzania kwa kutopenda vya nyumbani!!!!!. TUJIFUNZE TUREKEBISHE TUNAPOTEZA SOKO BILA KUJUA
Unalo sema ni kweli .......wa Tanzania tunaongea sana biashara hatujui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV,STAR TIMES,AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao. Utagundua watu walilipa kwa sababu ya michezo hussusani ya nje na si vipindi virushwavyo na vituo vyetu vya ndani. Nawashauri muwe mnaangalia hata Tv za Kenya, Uganda wanawazidi nini?. Sijui nitumie neno gani kuwaelezea waandishi wa humu ndani, watu wasiojua halafu hawajui kama hawajui. mfano kipindi cha muziki dk.30, muziki utapigwa dk. 10 matangazo dk 5, maongezi ya mtangazaji dk.15. Hawajielewi maskini watu hawataki kusikia maneno ya mtangazaji wanataka kusikia muziki, hata mtangazaji angekuwa na mbwembwe za namna gani watu wanataka kusikiliza muziki. Huu ni mfano mmoja tu sasa angalia kwa vipindi vyote stesheni zote halafu utawalaumu watanzania kwa kutopenda vya nyumbani!!!!!. TUJIFUNZE TUREKEBISHE TUNAPOTEZA SOKO BILA KUJUA
Good observation. Bora hata hicho Kiswahili wangekuwa wanajua! Yaani hawajitambui. Wakati mwingine wanapiga kelele au kucheka unnecessararly!!
 
Kama DSTV wanaji adjust vizuri sana... wanajua kuccheza na akili zetu vizuri...

Cc: mahondaw
 
Hali ya television za Tanzania ni mbaya sana sijui watu waliopo huko wanakili timamu?
 
Back
Top Bottom