Vyombo vya Habari vinacheza Mdumange wa CCM, vyapigwa marufuku kuripoti mapokezi ya Lissu Jimboni

Vyombo vya Habari vinacheza Mdumange wa CCM, vyapigwa marufuku kuripoti mapokezi ya Lissu Jimboni

What is obvious ni kuwa Lissu amemfunika sana Magufuli. Na iwapo Chadema na ACT-Wazalendo wajitambua kubaini, ku-elongate beyond Oct. 28 na kisha kutumia fursa hiyo - seize opportunity, [1995 (NCCR/Mrema) na 2015 (Chadema/Lowasa) walishindwa kutumia fursa hizo], Magufuli na CCM yake watashindwa kupata pa kutokea.

Magufuli itabidi ajute sana kwa kuwa hatakuwa na fursa ya kupata muda mwingine wa kujifunza.
Don't make enemies outside but keep them inside your circle/curve.
 
Vimepigwa marufuku, unafikiri ilikuwaje Azam wakarusha alafu ghafla wakaanza kufuta posts zote?

ITV hawaripoti kabisa, yaani tuendako huko ni kuangalia BBC na mitandao ya kijamii lakini lazma kuanza kampeni ya kumu-unfollow millard Ayo
Mtajikuta hamzidi 5000 watako unfollow, Kwan si mshaiboycot vodacom, kiko wapi, hamna jeuri wala namba
 
Waandishi wa habari nao ni watu.
Chama kiache ubahili wa kiMbowe wa kubana hela kwa ajili ya chenji ya konyagi.
Chama kiweke fungu la waandishi wa habari.
Wanasiasa wanatafuta maisha na waandishi pia wanatafuta.
Hakuna mtu atajitoa mhanga kuandika habari zinazoweza kumharibia kazi bila kupata angalau posho ya malazi, nauli, hela za chakula za kuachia familia ili hata kama atawekwa ndani familia ipate hata mihogo.
Tusidanganyane CCM na Mwenyekiti wake wamewashika waandishi tangu miaka ya uwaziri. Waandishi ndani ya CCM Uhakika wa kula upo. Vyombo binafsi vibajiendesha kwa fedha wanazopata wanapopata matamasha au matangazo. Hakuna mtu anayekataa hela hata kwenye mazingira kama ya yuda kumsaliti Mfalme wa Mbingu na nchi, Masihi wa Mungu.

Then huyo mwandishi anakwenda kurusha kwenye simu yake au
 
Kwa hiyo habari zinazomhusu Lissu zinawaharibia waandishi?
 
Vimepigwa marufuku, unafikiri ilikuwaje Azam wakarusha alafu ghafla wakaanza kufuta posts zote?

ITV hawaripoti kabisa, yaani tuendako huko ni kuangalia BBC na mitandao ya kijamii lakini lazma kuanza kampeni ya kumu-unfollow millard Ayo
Ya ku unfollow voda mlishafanikisha?
 
Jamani, kampeni hazijaanza tusubiri tume ya uchaguzi itangaze washiriki wa uchaguzi kwanza na kampeni zianze kisha tuone.
 
Kwa hiyo habari zinazomhusu Lissu zinawaharibia waandishi? Upumbavu huu!
Subiri utanielewa tuu taratibu .Kwa sasa hutaelewa mana unaongea mambo ya kufikirika kuliko uhalisia wa jamii ilivyo kwa sasa.
 
CCM kwisha habari..... hapo ndipo wanampaisha Lissu zaidi na zaidi....

Wao wameongea kwa miaka 5, nani anataka kuwasikia tena?
 
CDM fungueni utube site...wekeni hotuba zote za Lissu...kila kijiji kina watu wana smart phone.... ambao hawana watachanga hela wanunue bando wampatie mwenye simu afungue site..

TV zote zishabigwa bit..wakeup.
 
CCM kwisha habari..... hapo ndipo wanampaisha Lissu zaidi na zaidi....

Wao wameongea kwa miaka 5, nani anataka kuwasikia tena?
Mru unabweka kwa miaka 5 , watu wamechoka sauti yako isiyo na ladha sasa wanataka sauti ya kipenzi chao tulivu
 
Lissu atatoa upinzani mkali kwa Bwana Pombe ila kwa hofu hii iliyotamalaki, sina uhakika kama NEC nao hawatafuata nyayo na kufanya MAGAZIJUTO kwenye kura za urais. Mzee Pombe anataka na kaagiza ushindi mkubwa kuliko ule wa 2015
Kama hawajui nguvu ya umma ni nini wafanye huo ujinga. Raisi ni Lissu
 
Jihadharini na Chachu ya Mafarisayo na waandishi.

Hivi yule Mlevi mwenye Chama huku akiwaita wenzake wote kuwa ni wasaliti naye vipi kule Machame hawakumpokea alipotoka Gerezani??
Au hata walipotaka kumvunja mguu ??

Kuonyesha mafuriko ya Lisu ni khari sana kwa CCM.

Ogopa sana Rushwa ya fedha na madaraka.
Mwandishi anaona mwenzake kapata uteuzi naye anaahidiwa kuteuliwa ,kamwe hawezi kuripoti habari tofauti na ya mwenye nguvu ya ulaji.

Katiba inasababisha mtu mmoja anaweza hata kusujudiwa na kutolewa sadaka za kuteketeza kama Mungu mana anashika riziki za mtu yeyeote anayemtaka. Ni katiba ya kimungu ; jambo ambalo hua halimpendezi Mungu kamwe .Ndio maana nchi zote zinazowatukuza watawala kwa kiwango cha miungu hazidumu katika amani zaidi ya kutumia nguvu kubwa.
Itondoo
 
Back
Top Bottom