Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,408
Issa Shivji anaita "Imperial Constitution". Yaani katiba ya Kifalme, na Rais anayengoza chini ya katiba hiyo anaitwa "Imperial President"katiba ya kimungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Issa Shivji anaita "Imperial Constitution". Yaani katiba ya Kifalme, na Rais anayengoza chini ya katiba hiyo anaitwa "Imperial President"katiba ya kimungu
unanilinganisha na Nyerereumeeleweka ila Nyerere angekaaa kimya leo ungekuwa unawachamba makalio wakoloni kule Masaki.
Mtajikuta hamzidi 5000 watako unfollow, Kwan si mshaiboycot vodacom, kiko wapi, hamna jeuri wala nambaVimepigwa marufuku, unafikiri ilikuwaje Azam wakarusha alafu ghafla wakaanza kufuta posts zote?
ITV hawaripoti kabisa, yaani tuendako huko ni kuangalia BBC na mitandao ya kijamii lakini lazma kuanza kampeni ya kumu-unfollow millard Ayo
Waandishi wa habari nao ni watu.
Chama kiache ubahili wa kiMbowe wa kubana hela kwa ajili ya chenji ya konyagi.
Chama kiweke fungu la waandishi wa habari.
Wanasiasa wanatafuta maisha na waandishi pia wanatafuta.
Hakuna mtu atajitoa mhanga kuandika habari zinazoweza kumharibia kazi bila kupata angalau posho ya malazi, nauli, hela za chakula za kuachia familia ili hata kama atawekwa ndani familia ipate hata mihogo.
Tusidanganyane CCM na Mwenyekiti wake wamewashika waandishi tangu miaka ya uwaziri. Waandishi ndani ya CCM Uhakika wa kula upo. Vyombo binafsi vibajiendesha kwa fedha wanazopata wanapopata matamasha au matangazo. Hakuna mtu anayekataa hela hata kwenye mazingira kama ya yuda kumsaliti Mfalme wa Mbingu na nchi, Masihi wa Mungu.
Kwa hiyo habari zinazomhusu Lissu zinawaharibia waandishi?Waandishi wa habari nao ni watu.
Chama kiache ubahili wa kiMbowe wa kubana hela kwa ajili ya chenji ya konyagi.
Chama kiweke fungu la waandishi wa habari.
Wanasiasa wanatafuta maisha na waandishi pia wanatafuta.
Hakuna mtu atajitoa mhanga kuandika habari zinazoweza kumharibia kazi bila kupata angalau posho ya malazi, nauli, hela za chakula za kuachia familia ili hata kama atawekwa ndani familia ipate hata mihogo.
Tusidanganyane CCM na Mwenyekiti wake wamewashika waandishi tangu miaka ya uwaziri. Waandishi ndani ya CCM Uhakika wa kula upo. Vyombo binafsi vibajiendesha kwa fedha wanazopata wanapopata matamasha au matangazo. Hakuna mtu anayekataa hela hata kwenye mazingira kama ya yuda kumsaliti Mfalme wa Mbingu na nchi, Masihi wa Mungu.
Ya ku unfollow voda mlishafanikisha?Vimepigwa marufuku, unafikiri ilikuwaje Azam wakarusha alafu ghafla wakaanza kufuta posts zote?
ITV hawaripoti kabisa, yaani tuendako huko ni kuangalia BBC na mitandao ya kijamii lakini lazma kuanza kampeni ya kumu-unfollow millard Ayo
Lissu kupona ni muujiza risasi 16 mwilini na 22 zimemkosa!!huyu jamaa ni "muujiza unaotembea"
Subiri utanielewa tuu taratibu .Kwa sasa hutaelewa mana unaongea mambo ya kufikirika kuliko uhalisia wa jamii ilivyo kwa sasa.Kwa hiyo habari zinazomhusu Lissu zinawaharibia waandishi? Upumbavu huu!
Hoja yako ni nini hapa?Subiri utanielewa tuu taratibu .Kwa sasa hutaelewa mana unaongea mambo ya kufikirika kuliko uhalisia wa jamii ilivyo kwa sasa.
Mru unabweka kwa miaka 5 , watu wamechoka sauti yako isiyo na ladha sasa wanataka sauti ya kipenzi chao tulivuCCM kwisha habari..... hapo ndipo wanampaisha Lissu zaidi na zaidi....
Wao wameongea kwa miaka 5, nani anataka kuwasikia tena?
Kama hawajui nguvu ya umma ni nini wafanye huo ujinga. Raisi ni LissuLissu atatoa upinzani mkali kwa Bwana Pombe ila kwa hofu hii iliyotamalaki, sina uhakika kama NEC nao hawatafuata nyayo na kufanya MAGAZIJUTO kwenye kura za urais. Mzee Pombe anataka na kaagiza ushindi mkubwa kuliko ule wa 2015
Toka 1995 mpka leo kwa zanzibar wanafanya hivyo, 2015 walifanya hivyoKama hawajui nguvu ya umma ni nini wafanye huo ujinga. Raisi ni Lissu
ItondooJihadharini na Chachu ya Mafarisayo na waandishi.
Hivi yule Mlevi mwenye Chama huku akiwaita wenzake wote kuwa ni wasaliti naye vipi kule Machame hawakumpokea alipotoka Gerezani??
Au hata walipotaka kumvunja mguu ??
Kuonyesha mafuriko ya Lisu ni khari sana kwa CCM.
Ogopa sana Rushwa ya fedha na madaraka.
Mwandishi anaona mwenzake kapata uteuzi naye anaahidiwa kuteuliwa ,kamwe hawezi kuripoti habari tofauti na ya mwenye nguvu ya ulaji.
Katiba inasababisha mtu mmoja anaweza hata kusujudiwa na kutolewa sadaka za kuteketeza kama Mungu mana anashika riziki za mtu yeyeote anayemtaka. Ni katiba ya kimungu ; jambo ambalo hua halimpendezi Mungu kamwe .Ndio maana nchi zote zinazowatukuza watawala kwa kiwango cha miungu hazidumu katika amani zaidi ya kutumia nguvu kubwa.
2015 sio 2020 ndugu. Hata uvumilivu una mwishoi
Toka 1995 mpka leo kwa zanzibar wanafanya hivyo, 2015 walifanya hivyo