Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hii mbona kawaida kwa wanasiasa wote? Wakati ule hatuna ndege, wapinzani waliibeza serikali kwa kutokuwa na ndege (mchango wa Heche Bungeni) ndege zimenunuliwa Heche huyo huyo tena akapinga kwa nini tunanunua ndege.
Chadema 2015 walikuwa na ajenda ya kumwachia Babu Seya, Babu Seya akaachiwa na Magufuli wakageuka tena, kwa nini kaachiwa. Si ajabu hata wao wakishinda hata hiyo Katiba mpya isifanyiwe kazi kabisa.
Wanasiasa rangi zao sawa.