Vyombo vya Habari vinavyokubali kutumika ni vema vikaitathmini video hii

Vyombo vya Habari vinavyokubali kutumika ni vema vikaitathmini video hii

Amesema akishinda halafu wagome kumtangaza kufuatia amri ya bwana mkubwa aliyesema atamshangaa mkurugenzi anayelipwa mshahara na kupewa gari na yeye amtangaze mpinzani kuwa ameshinda ndo Lissu amesema ikitokea hivo anaingiza watu barabarani. Na wote tunakumbukumbu kuwa Mkuu alitoa hayo maagizo TBC
Basi wamesema wanakusubiri barabarani mkuu baada ya 28/10/2020.
 
Hiyo kauli hata kama unashabikia unatakiwa kujiuliza mara mbili kama huo ndiyo uongozi wa nchi na katiba ipo inayotoa uhuru aliokuwa anaunadi kwenye kampeni kiukweli muda utaongea.
Labda huo muda utaongea baada ya miaka 50!!
 
I happen to know how stupid you must be, nevertheless can you answer this one simple question? Do you know the two official languages in use in the United Republic of Tanzania?
You ass! Shutup!!
 
Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wenye vichwa vigumu kuelewa, endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.


Kwa hiyo hapo unataka tuelewe nini?
Mwanzo kuna wana habali na sehemu ya pili ni wamiliki, wa vyombo vya habali.
Kwa hiyo onatakiwa utumie akiri yako vizuri.
Pila kuwalinda sio.kuwatuhusu wawe wakorofi.

Hata watoyo wako mi wajibu wako kuwalinda ila wanapokosea huwezi kuacha kuwavhapa eti kwa kuwa unawalinda.
Bavicha mnashindwa wapi?
 
Hakika, na iwe hivyo.

Kiboko yake ni Tundu Lissu.

Mpaka dakika hii inaonekana kila mbinu ya kisheria ya kumuengua asigombee imegonga mwamba.

100% uchaguzi huu ni Tundu Lissu vs Magufuli "mwoga" asiyejiamini.
Ukiona mtu anakutajtaja sana ujue huyo ana kuogopa, sasa tundu lisu anamtaja magufuli kila siku, toka ulaya hadi tanzania
Kila anapotaka kutamka neno lazima amtaje magufuli,
Akiwa na mkewe ni magufuli, akienda kuoga ni magufuli,
Sasa mwamba umesimama tayari kusagasaga makapi ya beberu 29 watu juu ya sturi ndefu tukisindikiza mbowe na faru john akiwa anaugulia maumivu baada ya kibaraka kusagwa sagwa.
Kumtaja magufuli ni sawa na maji, kila kukicha lazima ukutane na maji kwa hiyo Tundu hawezi kukwepa hili.
 
Back
Top Bottom