Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Awamu hii wale wasiomfurahisha JPM kwa kumuabudu na kumsifu ndio wanapitishwa kwenye tanuru la moto!Mfano musiba na vyombo vyake,angekuwa kashashughulikiwa mapema lakini kwakuwa ni mlamba viatu na anowadhalilisha na kuwakashifu ni waoinzani wa serikali ya Jiwe,basi anapeta tu!Hakuna Uhuru usio na mipaka vile vile
Hakuna mipaka isiyo na Uhuru.
Hizi kauli za hakuna uhuru usio na mipaka ni kauli za kutengeneza pango la kujificha kuhalalisha uovu!
Sasa hapo eti kilichomuuma ni magazeti kuweka front page tukio la Nape kutolewa bastola!!!!😁😁😁😁