Saharavoice
JF-Expert Member
- Aug 30, 2007
- 4,017
- 2,580
Hili sidhani kama lina akili tumamu!Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wenye vichwa vigumu kuelewa , endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.
Ulimsikia CHADEMA gani analalamika kuachiwa kwa Babu Seya? Wacha ukuda wewe!Chadema 2015 walikuwa na ajenda ya kumwachia Babu Seya, Babu Seya akaachiwa na Magufuli wakageuka tena, kwa nini kaachiwa.
Subiri 28/10/2020 tutajua nani aliye na utapia mlo!Una akili ya utapia mlo mno !
Tulichemka big time mkuu! Kitumie vizuri kichinjio chako mwaka huu!Jiweeee! Kwenye cliip kafura hatari. Utadhani anamfokea mkewe. 2015 ulikosea kama taifa.
Unasifia ujinga!Subiri 28/10/2020 tutajua nani aliye na utapia mlo!
Tafuta humu ziko nyingi tu. fanya homeworkUlimsikia CHADEMA gani analalamika kuachiwa kwa Babu Seya? Wacha ukuda wewe!
Kibibi utakuwa wewe na hapa kaz yako na mwaka huu ndo mwisho akawakolomee hawala zake na mapoyoyo ya mapambio kama wewe.Utatafuta viclip mpaka utakuwa kibibi!! Hapa Kazk Tu!!
Mataga tutayanyoosha yaende kwa maitarahamwe wenzake.Msaliti wa nchi yetu hapati kitu tunawasubiri barabarani si amesema akishindwa atawaingiza barabarani ili mgongwe na bodaboda?
Heche alimshughulikia nani ?Hii mbona kawaida kwa wanasiasa wote? Wakati ule hatuna ndege, wapinzani waliibeza serikali kwa kutokuwa na ndege (mchango wa Heche Bungeni) ndege zimenunuliwa Heche huyo huyo tena akapinga kwa nini tunanunua ndege.
Chadema 2015 walikuwa na ajenda ya kumwachia Babu Seya, Babu Seya akaachiwa na Magufuli wakageuka tena, kwa nini kaachiwa. Si ajabu hata wao wakishinda hata hiyo Katiba mpya isifanyiwe kazi kabisa.
Wanasiasa rangi zao sawa.
Thank you Hon. Tundu Antiphas Lissu for being the man...Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wenye vichwa vigumu kuelewa , endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja
In beberus language!!Thank you Hon. Tundu Antiphas Lissu for being the man...
The man who seemed to be,
The man who claimed to be and
The man who proved to be
Yes, you are the man who dared and lived to tell the tale!
View attachment 1544383
You are the man, one man in the midst of millions...
The man who questioned,
The man who challenged and
The man who refused to stay quiet
Yes, the man who took action and nearly paid with his life!
Mods washakuwa wajumbe ikija thread tofauti hata sekunde haikai. Bora wakaruhusu mawazo mchanganyiko .too much right wingMods wasipong'aa na hii post basi "where we dare to talk openly" ndi mpango mzima
Karibu 28/10/2020!!Kibibi utakuwa wewe na hapa kaz yako na mwaka huu ndo mwisho akawakolomee hawala zake na mapoyoyo ya mapambio kama wewe
I happen to know how stupid you must be, nevertheless can you answer this one simple question? Do you know the two official languages in use in the United Republic of Tanzania?In beberus language!!
Utatafuta viclip mpaka utakuwa kibibi!! Hapa Kazk Tu!!
Huyu jamaa mimi sikuwahi kumwamini.Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wenye vichwa vigumu kuelewa , endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja
View attachment 1544341
Msaliti wa nchi yetu hapati kitu tunawasubiri barabarani si amesema akishindwa atawaingiza barabarani ili mgongwe na bodaboda?
Asante sana mkuuHiyo kauli hata kama unashabikia unatakiwa kujiuliza mara mbili kama huo ndiyo uongozi wa nchi na katiba ipo inayotoa uhuru aliokuwa anaunadi kwenye kampeni kiukweli muda utaongea.