Tigershark
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 7,051
- 12,566
Awamu hii wale wasiomfurahisha JPM kwa kumuabudu na kumsifu ndio wanapitishwa kwenye tanuru la moto!Mfano musiba na vyombo vyake,angekuwa kashashughulikiwa mapema lakini kwakuwa ni mlamba viatu na anowadhalilisha na kuwakashifu ni waoinzani wa serikali ya Jiwe,basi anapeta tu!Hakuna Uhuru usio na mipaka vile vile
Hakuna mipaka isiyo na Uhuru.
Kweli huyu Magu ni ndumilakuwili....,.Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wenye vichwa vigumu kuelewa, endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.
Ataishia kusema Stigla,Ndege,Fraiovaa zaidi ya hapo hakunaAisee..
Watu mnajua kufukunyua, siyo mchezo.
Na Jiwe sijui atajitetea kwa mangapi. Maana akigeuka kushoto anakula mkwaju, akijaribu kugeuka kulia anakula mpini, na akigeuka nyuma anakula nyundo na mbele anakutana na moto wa gesi!
Mwaka huu ni lazima na ni zamu kuisoma Namba na kuuona upande mwingine wa shilingi.
Hapo ilikuwa ni baada ya kuona magazeti yote front page ni tukio la Nape kutolewa bastola hadharani!Jiweeee! Kwenye cliip kafura hatari. Utadhani anamfokea mkewe. 2015 ulikosea kama taifa.
Lumumba Buku 7 nayo ni kazi ?Utatafuta viclip mpaka utakuwa kibibi!! Hapa Kazk Tu!!
Hapo alikasirika baada ya kuona magazeti yote front page ni habari picha ya Nape akitolewa bastola na afisa usalama ambaye vyombo vilimkana!Kila uhuru una mipaka
Kama alivo mnyoosha lisuAtawanyoosha tu!
noma kweli !Hapo alikasirika baada ya kuona magazeti yote front page ni habari picha ya Nape akitolewa bastola na afisa usalama ambaye vyombo vilimkana!
unafikiri hata wao wanapenda?Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa vyombo vya habari wenye vichwa vigumu kuelewa, endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.