Vyombo vya Habari vya Kimataifa vinapata faida gani kuzusha uongo kuihusu Tanzania na Rais Magufuli ?!. Angalia uongo/uzushi wa The Guardian la UK!

Jamaa anajipendekeza hatari, huo uongo na mazushi uko wapi? Tanzania ina uspecial gani isisemwe, punguza njaa, tumia akili yako uliyobarikiwa na Mungu kupambana kutafuta chakula kuliko kujipendekeza ovyo
 
Siku zote wazungu huwa hawaitakii mema Afrika na Waafrika, wanatamani kila baya litupate Waafrika.Mke wa Bill Gates,Melinda Gates alitoa kali ya mwaka mwezi Aprili mwaka huu aliposema baada ya wiki mbili mitaa ya Afrika itajaa maiti za watu kutokana na Covid-19, hii kauli ilikuwa na lengo la kututia hofu Waafrika ili mambo yasiende.Baada ya hizo wiki mbili mambo yalikuwa shwari tu,kiufupi ulikuwa uzushi tu lengo ni kuleta taharuki kwa Waafrka.Huwa nashangaa sana ninapoona Waafrika wenzetu wanaposhabikia mambo ya hawa manyang'au wazungu hawa watu hawafai hata kidogo.Kuna mzungu mmoja huko Libya aliwaambukiza watoto wasiokuwa na hatia wapatao 200+ virusi vya HIV,iliniuma sana.Huu ugonjwa wa corona uendelee kuwamaliza hao wazungu labda watatuheshimu na kututhamini Waafrika.
 
Ubaya wa mtu sio rangi yake ni tabia yake,kugeneralize huo ni ubaguzi
 

Vyama na makada wa vyama ndio wamefanya ile proud ya mtu kujivunia inchi yake kuwa imekwisha

Coz kuna waandishi wa habari wa hapa hapa Tanzania na wao wana akili kama za hao uliowataja but hakuna mtu anasema

So now tuache tu mambo yaende kama yalivyo but I'm sure na hao sio wajinga mpaka wanaandika hivyo
 
Toka mfalme mpya aanze kukikalia kiti cha enzi kuna kikundi cha watu wachache wanataka kuwaaminisha wengine kwamba toka misingi ya dunia iwekwe hakujawahi kuwepo ufalme uliotukuka kama huu wa Mfalme Jiwe V.Mmoja wa watu hao ni huyu "Rascal" Mayalla.
 
Huwa nashangaa iq za wadau wa jf. Nimekuelewa vizuri mkuu
 
Awamu ipi hiyo mbona bado tupo sana tu na tutaendelea, wewe hama nchi ili usichanganyikiwe zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…