Tetesi: Vyombo vya habari vya kimataifa vyaanza kuwasili Tanzania kuelekea Sep 1(UKUTA)

Mkuu, hujitambui. UN haitumi waangalizi wake kwenye maandamano, na hiyo haijawahi kutokea popote. vyombo vya habari vina kazi ya ku report matukio duniani kwa ajiri ya kuhabarisha ulimwengu dhidi ya yanayotokea. sijui kama elimu zenu zinawasaidia kujitambua? what a shame..!
 
Uelewa wako ni kinyume. Kama kuna security alert waandishi wabobeshi wanaeeza wakatumwa kuriport wakisaidiana na locals.
 
Uelewa wako ni kinyume. Kama kuna security alert waandishi wabobeshi wanaeeza wakatumwa kuriport wakisaidiana na locals.
Wanaweza, ila si of that massive kama tunavyotaka kuaminishwa kwamba jamaa wameishaingia kwa wingi.

Imagine kwa mfano: BBC wana centre yao hapa Dar then tuambiwe kuna BBC wengine wameingia, kwa tukio hili la UKUTA ambalo nalifananisha na tukio walevi waliopotea njia, hata haliwezi kuwa global story ukilinganisha na turmoil za Somalia, Libya, Syria etc.
 
Uzuri hawa hawerembi,hawaogopi mtu wala kujipendekeza ila msije kushangaa wanawakee mashariti jinsi ya kufanya kazi yao au hata kufukuzwa nchini na wakiwafukuza wasahau misaada.

Kwakuwa hawarembi then to you is okay hata kutokee fujo? Kweli kuna watanzania na watazamia!

All in all tupo gado na mategemeo yako count it zero!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…