comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Halafu kwa taarifa yenu hao wamekuja shuhudia kupatwa kwa jua wapate cha kuandika kwao sio hayo mnayofikiri yatatokea Not in Tanzania God bless us
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hapa zichapwe bongoNenda syria ulale usiku mmoja halafu urudi
Logically the child analogy has similar syllogism to CDM political behaviour; thus requiring similar shaping approach.Mfumo wa kuongoza Nchi usiufananishe na mfumo wa kuongoza Familia ...
Si kweli kinachopingwa ni campaign type of politics watu awawezi zunguka nchi nzima kupinga serikari iliyoko madarakani halafu wakaachwa sio Tanzania tu nchi yoyote siasa hizo uisha baada ya uchaguzi au kulazimisha kuonyeshwa kwa bunge live wakati hayo ni maamuzi ya serikari wasubiri washinde warudishe lakini si kulazimisha ni haki yao.Sasa siasa ni hoja, je wapinzani waitolee wapi kama mikutano yote imepigwa marufuku? Mtafutano wooote huu ni kuwa watu wamezuiwa kutoa hoja na wameamriwa kuwa mazezeta hadi 2020.
Nafikiri huwajui wazungu na hufikiri sawa sawa hujaona waandishi kwenye maeneo yenye vita kali kuliko hii nchi km Syria, Iraq, Libya.. japo sina uthibtisho wa ujio huo wa waandishiAcheni umbeya, hasa wa kuunganisha story na matukio.
Hao jamaa wameshuka kibao hapa Songwe airport Mbeya - wanaelekea Kitulo na maeneo mengine kushuhudia kupatwa kwa jua.
Msijifariji hakuna wa kuandamana, mzungu hawezi take risk ya kuleta mwandishi wake eneo ambalo kuna security alert, sana atatumia local journalists kwa ajili ya coverage.
Hivi kuna mgogoro ganiwakifukuzwa mgogoro utakuwa mkubwa zaidi
Hata Charles Taylor na Lawrence Gbagbo wafuasi wake walisema hivyo hivyo mkuu.Kijan hakuna mahakam ya kumfunga magu
Si kweli kinachopingwa ni campaign type of politics watu awawezi zunguka nchi nzima kupinga serikari iliyoko madarakani halafu wakaachwa sio Tanzania tu nchi yoyote siasa hizo uisha baada ya uchaguzi au kulazimisha kuonyeshwa kwa bunge live wakati hayo ni maamuzi ya serikari wasubiri washinde warudishe lakini si kulazimisha ni haki yao.
Mwisho wa siku wakadhalilika vibaya sana !Hata Charles Taylor na Lawrence Gbagbo wafuasi wake walisema hivyo hivyo mkuu.
Mfumo wa kuongoza Nchi usiufananishe na mfumo wa kuongoza Familia ...[/QUOTE
si majuzi mulikiwa unatumia mfano wa nchi kama familia mlipokuwa mnamkosoa Rais Kikwete?
Taarifa zilizotufikia punde ni kuwa baadhi ya vyombo vya kimataifa hasa vya nchi za magharibi na mashariki ya mbali vimeanza kuwasili nchini ili kushuhudia tukio kubwa la kitaifa linalotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi unao kuja (Sept 1)
Uchunguzi uliofanywa na mchunguzi wetu unaeleza wazi kuwa vyombo hivyo vya habari vya kimataifa (CNN, BBC, SBBC, CCTV ALJAZERA, RT) vimewasili nchini baada ya taarifa zilizoripotiwa na ubalozi wa Marekani kwa raia wake ambapo imeelezwa kwamba taarifa za kijasusi zinasema kunaweza kutokea maandamano makubwa yanayoweza kupelekea mapigano na uvunjifu wa amani.
Pia wapo wachunguzi wengine wanasema maandamano haya yanasukumwa na baadhi ya mataifa yenye nguvu za ushawishi duniani.
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani nchini vimeandaa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Sept 1 kama yalivyopangwa huku kukiwa na mivutano mikubwa na serikali ambapo madai ya wapinzani yanahusisha serikali kukiuka katiba.
Source: Afisa uhamiaji (uwanja wa ndege JKNIA)
MY TAKE
Kwa mjibu wa nyaraka za MOSSAD, CIA, RAW na FSB juu ya elimu ihusuyo "kiwango cha hali ya hatari katika eneo la kiraia" ambacho hupimwa kwa kipimo kiitwacho Def Cond, inasema, "Pale majadiliano ya meza yanaposhindwa kuleta jibu chanya, wanamjadala hususia meza, ambapo katika kipimo husomeka Def Cond 0001".
Ikitokea kuwa hata huko walikoamua wanamjadala hao kupeleka hisia zao nako kukazuiwa, hasira ya wanamjadala hao huongezeka na kuwa Def Cond 0002. Hatua ya mwisho ya wanamjadala hawa huwa ni kwenda kwenye mahakama ya umma, hapa kipimo husomeka Def Cond 0003.
Hiki ni kipimo kikubwa katika medani ya kiusalama kwa mambo ya ndani, ambapo matokeo yake shughuli katika jamii husimama, serikali hushindwa kutawala wala kuongoza. Katika lugha nyingine huitwa mgogoro wa ndani,kisiasa,kikatiba nk...
Zingatia hali hii haizai vita, kwani ili vita kamili ya ndani izaliwe lazima hali ya hatari isomeki Def Cond 0006. Na ili vita kamili izaliwe katika ya taifa na taifa lazima hali ya hatari isomeke Def Cond 0008.
Ulimi ndio silaha izaayo vita, na ulimi ndio silaha imalizayo vita... Hakuna silaha kubwa duniani kama Ulimi wa binadamu.
Watu wanafanya uchaguzi kwa sababu ya kupata 'political mandate' ya kuongoza nchi kutokana na namna sahihi kwao wao, mbinu zao, ilani yao etc. Na kufanikisha hilo inataka kuongoza jamii iliyo na amani na mshikamano.Wangeruhusiwa kupanda majukwwani wananchi wachuje kati ya pumba na mchele. Pili serikali ingeweza kuwakamata na kuwafungulia mashtaka ya kuikashifu serikali na uchochezi. Hili lingeruhusiwa, wala hakuna mwananchi yeyote ambaye angepoteza muda wake kuandamana kwa ajili ya watu walioshtakiwa kwa mujubu wa sheria za nchi. Kinachogomba kwa sasa ni makatazo ya jumla bila kufuata sheria.
Wacha waje hakuna shida.. mbona 2015 October 25 walikuja tele pia kwa matumaini hayo hayo waliokuja nayo sasa na mwisho wa siku wakaishia kuripoti mastaajabu yao ya hali ilivyokuwa kinyume na matarajio yao...Taarifa zilizotufikia punde ni kuwa baadhi ya vyombo vya kimataifa hasa vya nchi za magharibi na mashariki ya mbali vimeanza kuwasili nchini ili kushuhudia tukio kubwa la kitaifa linalotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi unao kuja (Sept 1)
Uchunguzi uliofanywa na mchunguzi wetu unaeleza wazi kuwa vyombo hivyo vya habari vya kimataifa (CNN, BBC, SBBC, CCTV ALJAZERA, RT) vimewasili nchini baada ya taarifa zilizoripotiwa na ubalozi wa Marekani kwa raia wake ambapo imeelezwa kwamba taarifa za kijasusi zinasema kunaweza kutokea maandamano makubwa yanayoweza kupelekea mapigano na uvunjifu wa amani.
Pia wapo wachunguzi wengine wanasema maandamano haya yanasukumwa na baadhi ya mataifa yenye nguvu za ushawishi duniani.
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani nchini vimeandaa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Sept 1 kama yalivyopangwa huku kukiwa na mivutano mikubwa na serikali ambapo madai ya wapinzani yanahusisha serikali kukiuka katiba.
Source: Afisa uhamiaji (uwanja wa ndege JKNIA)
MY TAKE
Kwa mjibu wa nyaraka za MOSSAD, CIA, RAW na FSB juu ya elimu ihusuyo "kiwango cha hali ya hatari katika eneo la kiraia" ambacho hupimwa kwa kipimo kiitwacho Def Cond, inasema, "Pale majadiliano ya meza yanaposhindwa kuleta jibu chanya, wanamjadala hususia meza, ambapo katika kipimo husomeka Def Cond 0001".
Ikitokea kuwa hata huko walikoamua wanamjadala hao kupeleka hisia zao nako kukazuiwa, hasira ya wanamjadala hao huongezeka na kuwa Def Cond 0002. Hatua ya mwisho ya wanamjadala hawa huwa ni kwenda kwenye mahakama ya umma, hapa kipimo husomeka Def Cond 0003.
Hiki ni kipimo kikubwa katika medani ya kiusalama kwa mambo ya ndani, ambapo matokeo yake shughuli katika jamii husimama, serikali hushindwa kutawala wala kuongoza. Katika lugha nyingine huitwa mgogoro wa ndani,kisiasa,kikatiba nk...
Zingatia hali hii haizai vita, kwani ili vita kamili ya ndani izaliwe lazima hali ya hatari isomeki Def Cond 0006. Na ili vita kamili izaliwe katika ya taifa na taifa lazima hali ya hatari isomeke Def Cond 0008.
Ulimi ndio silaha izaayo vita, na ulimi ndio silaha imalizayo vita... Hakuna silaha kubwa duniani kama Ulimi wa binadamu.
UKUTA sio global news, ukilinganisha na kupatwa kwa jua. Kupatwa kwa jua kunako tarajiwa has been covered kwenye hivyo media na makala kibao duniani ili hali huo UKUTA unaandikwa na Tanzania Daima, Mtanzania labda kidogo sana na Mwananchi.H
Nafikiri huwajui wazungu na hufikiri sawa sawa hujaona waandishi kwenye maeneo yenye vita kali kuliko hii nchi km Syria, Iraq, Libya.. japo sina uthibtisho wa ujio huo wa waandishi