Tetesi: Vyombo vya habari vya kimataifa vyaanza kuwasili Tanzania kuelekea Sep 1(UKUTA)

Tetesi: Vyombo vya habari vya kimataifa vyaanza kuwasili Tanzania kuelekea Sep 1(UKUTA)

Ally Jazeera: wenyewe wameongelea kwamba tatizo linaweza kuwa zaidi mgogoro wa Zanzibar

BBC UK : hawa wameongelea kauli ya mbowe Kuwa maandalizi yapo tayari

BBC focus in Africa : wameongelea kuuawa kwa wale police mbande

BBC Swahili : wameongelea kauli ya Kingunge kuwa uwepo usuluishi!

DW: wameingelea kauli ya mwigulu chemba kuwa Tunaye Raisi mmoja tu akiongea lazima wote tufuate!

Sauti ya America : hawa wamenukuu kauli za myika na Lowassa kwamba Ukuta upo pale pale!!

CNN : wameongelea mwendelezo wa kukamatwa kwa wapinzani na wamewaongelea Tundu Lissu na Zitto kabwe!!!

Hawa wote kwa wakati tofauti wanaongelea Ukuta lakini kilochonishutua ni kuona CNN wakionge
mambo ya Tanzania nimejiuliza maswali mengi sana bila kupata majipu!!

Nitoe tu ushauri kama mnafikiri mnapambana na viongozi wa chadema na wananchi wao mnajidanganya!!!

Kiukweli mnapambana na nchi zote ambazo zina democrasia Duniani kama UK,France, USA etc

Hivi mnafikiri Rais wa Tunisia ambaye aliondolewa kwa nguvu ya uma alikuwa Ajachaguliwa na wananchi?

Mnakumbuka sababu iliyomfanya aondolewe Rais wa Tunisia?
Si ilikuwa ni kumsumbua yule kijana machinga Aliyekuwa ameitimu first degree anajifanyia biashara zake mjini lakini police wakawa wanamsumbua kilichofatia ni watu kupatwa na hasira na kuingia barabarani na Rais akaondolewa kwa nguvu ya umma!!!

Sasa hivi tunapambana na wapinzani wakati mnajua kabisa marekani ni Rafiki wa wapinzani karibu duniani kote na mnategemea tena misaada kutoka kwao?

Hiyo misaada yote mnayotegemea kupewa tegeneeni maumivu kama mtasumbua raia wenu !!

Mjue tu tuko uchi wa myama na dunia yote sasa hivi inatumulika na tutakuja kuyajua haya badae!!
Kwa nini unaweweseka? Ngoja tarehe moja uandamane ili hivyo vyombo vipate habari nzuri za kuripoti.
 
Mhh BBC mbona kwa Tanzania wapo na wanarusha matangazo kutoka hapa,waje kutoka wapi....
 
Tunajua cdm ni watekelezaji na wahamasishaji tu wenye miradi wako kwenye nchi ulizozitaja sasa kwa taarifa yenu tutawachapa ili muwarudishie taarifa kuwa tanzania siyo Libya, Tunisia wala Iraq. Na tutawakung'uta kweli ndiyo maana tumesema hakuna mbowe kuondoka mpk sept saba
Mtawachapa kina nani? Kwa makosa yapi? Tanzania na Libya/Tunisia zina tofauti gani au kivuli cha amani kinawapa upofu?
 
They also understand when the public is used as political pawns to fund parties secret destructive agenda and that is intolerable anywhere.

Tarehe 1 mbali sana kwa wengine; hata mtoto inafikia hatua wazazi lazima wamuonyeshe ukweli mchungu awezi pata kila kitu anachotaka kuna limited time ya kusumbua wazazi, limited resources ya kumpatia every whim; tantrum zipo atakapokosa lakini msimamo pekee ndio ubadilisha tabia. Ni wakati sasa kwa upinzani kuelewa siasa ni hoja sio kununa nuna kama watoto wadogo na kuleta tantrum.

Sasa siasa ni hoja, je wapinzani waitolee wapi kama mikutano yote imepigwa marufuku? Mtafutano wooote huu ni kuwa watu wamezuiwa kutoa hoja na wameamriwa kuwa mazezeta hadi 2020.
 
Uzuri hawa hawerembi,hawaogopi mtu wala kujipendekeza ila msije kushangaa wanawakee mashariti jinsi ya kufanya kazi yao au hata kufukuzwa nchini na wakiwafukuza wasahau misaada.
Ni kweli mkuu na hana ubavu huo kabisa.....na akitaka kujua mbivu ni zipi hapo sept yatokee kama ya mwangosi either kwa cnn ama bbc
 
Yaani nyie jamaa kila siku mnaleta ngonjera mpya.

Wao waje tu lakini kipigo kiko pale pale kwa watakaokiuka amri.

Hii nchi haiendeshwi kwa shinikizo la vyombo vya nje tuna taratibu zetu.
 
Unafikiri watu wanapelekwa huko ICC ovyo ovyo tu??????? Hujui hata huyo Mbowe, Tundu Lissu kwamba wanaweza kupelekwa ICC kwa kuchochea vurugu???? Unadhani ICC ndiye mwokozi wa UKAWA sijui UKUTA wait and see....nyie andamaneni muone, you will regret.....kamuulize Maalim Seif na ICC alichoambiwa huko ICC....
awapi jidanganye tu na kujitekenya mbowe anafuata katiba inachosema haangalia makunjo ya sura ya mtu kama Rais anaamua kuidhalilisha taasisi ya Urais kwa kuidharau katiba naye ni haki kudharauliwa!
 
It's their agenda. Wameona hawawezi kutuchezea sasa wameamua kuwatumia wanasiasa uchwara wasio na uzalendo kutuvuruga. Baada ya Septemba Mosi utasikia EU wametoa Euro milioni kadhaa kwa CHADEMA kusaidia ukuzaji wa Demokrasia nchini Mtei $ Co wazidi kutajirika. Mijitu imegeuzwa mitaji ya watu wala haijielewi. Mungu Ibariki Tanzania!
 
Mimi nilipatwa na mshituko na baadaye nikasikitika sana...sijui tunaelekea wapi...kiingereza kitushinde na hata Kiswahili nacho kitushinde???!!!! Huyo aliyeandika 'taharifa' siyo kwamba alifanya hivyo kwa bahati mbaya...yeye anadhani ndivyo neno 'taarifa' linavyoandikwa...
Kweli Mkuu tunashida kubwa sana.
 
They also understand when the public is used as political pawns to fund parties secret destructive agenda and that is intolerable anywhere.

Tarehe 1 mbali sana kwa wengine; hata mtoto inafikia hatua wazazi lazima wamuonyeshe ukweli mchungu awezi pata kila kitu anachotaka kuna limited time ya kusumbua wazazi, limited resources ya kumpatia every whim; tantrum zipo atakapokosa lakini msimamo pekee ndio ubadilisha tabia. Ni wakati sasa kwa upinzani kuelewa siasa ni hoja sio kununa nuna kama watoto wadogo na kuleta tantrum.
Ni kweki siasa ni hoja. Swali: anayejibu hoja kwa kutumia nguvu ya dola ni nani hapa?
 
Acheni umbeya, hasa wa kuunganisha story na matukio.

Hao jamaa wameshuka kibao hapa Songwe airport Mbeya - wanaelekea Kitulo na maeneo mengine kushuhudia kupatwa kwa jua.

Msijifariji hakuna wa kuandamana, mzungu hawezi take risk ya kuleta mwandishi wake eneo ambalo kuna security alert, sana atatumia local journalists kwa ajili ya coverage.
Bandiko uchwara. Unadhani journalists wanaojua kazi yao wanagopa security alert? Hebu fungua CNN uone waaandishi wao wanavyoripoti kutoka front line vitani huku mabomu yanarindima.
 
Taharifa zilizo tufikia punde ni kuwa baadhi ya vyombo vya kimataifa hasa vya nchi za magharibi na mashariki ya mbali vimeanza kuwasili nchini ili kushuhudia tukio kubwa la kitaifa linalo tarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi unao kuja (sep 1)

Uchunguzi uliofanywa na mchunguzi wetu unaeleza wazi kuwa vyombo hivyo vya habari vya kimataifa (CNN, BBC, SBBC, CCTV ALJAZERA, RT) vimewasili nchini baada ya taharifa zilizo ripotiwa na ubalozi wa marekani kwa raia wake ambapo imeelezwa kwamba taharifa za kijasusi zinasema kunaweza kutokea maandamano makubwa yanayoweza kupelekea mapigano na uvunjifu wa amani.

Pia wapo wachunguzi wengine wanasema maandamano haya yanasukumwa na baadhi ya mataifa yenyenguvu za ushawishi duniani.

Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani nchini vimeandaa maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika sep 1 kama yalivyo pangwa huku kukiwa na mivutano mikubwa na serikali ambapo madai ya wapinzani yanahusisha serikali kukiuka katiba.

source: ofisa uhamiaji (uwanja wa ndege JKNIA)

MY TAKE

Kwa mjibu wa nyaraka za MOSSAD, CIA, RAW na FSB juu ya elimu ihusuyo "kiwango cha hali ya hatari katika eneo la kiraia" ambacho hupimwa kwa kipimo kiitwacho Def Cond, inasema, "Pale majadiliano ya meza yanaposhinwa kuleta jibu chanya, wanamjadala hususia meza, ambapo katika kipimo husomeka Def Cond 0001".

Ikitokea kuwa hata huko walikoamua wanamjadala hao kupeleka hisia zao nako kukazuiwa, hasira ya wanamjadala hao huongezeka na kuwa Def Cond 0002. Hatua ya mwisho ya wanamjadala hawa huwa ni kwenda kwenye mahakama ya umma, hapa kipimo husomeka Def Cond 0003.

Hiki ni kipimo kikubwa katika medani ya kiusalama kwa mambo ya ndani, ambapo matokeo yake shughuli katika jamii husimama, serikali hushindwa kutawala wala kuongoza. Katika lugha nyingine huitwa mgogoro wa ndani,kisiasa,kikatiba nk...

Zingatia hali hii haizai vita, kwani ili vita kamili ya ndani izaliwe lazima hali ya hatari isomeki Def Cond 0006. Na ili vita kamili izaliwe katika ya taifa na taifa lazima hali ya hatari isomeke Def Cond 0008.

Ulimi ndio sila izaayo vita, na ulimi ndio silaha imalizayo vita... Hakuna silaha kubwa duniani kama Ulimi wa binadamu.
Tunawakaribisha kuona maajabu asilia ya dunia ili wakirudi kwao wawe mabalozi wazuri wa utalii wetu Tanzania.

Vinginevyo watawaona jamaa wachovu wachache wakiandamana chini ya uangalizi mdogo wa polisi kisha viongozi wao wachovu pia wakitokwa povu kuhutubia hoja mfu kwa viumati visivyo na tija!

BTW: WAANGALIZI KUTOKA UN WATAKUWEPO?
 
Taharifa zilizo tufikia punde ni kuwa baadhi ya vyombo vya kimataifa hasa vya nchi za magharibi na mashariki ya mbali vimeanza kuwasili nchini ili kushuhudia tukio kubwa la kitaifa linalo tarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi unao kuja (sep 1)
Uchunguzi uliofanywa na mchunguzi wetu unaeleza wazi kuwa vyombo hivyo vya habari vya kimataifa (CNN, BBC, SBBC
, CCTV ALJAZERA, RT)
vimewasili nchini baada ya taharifa zilizo ripotiwa na ubalozi wa marekani kwa raia wake ambapo imeelezwa kwamba taharifa za kijasusi zinasema kunaweza kutokea
maandamano makubwa yanayoweza kupelekea mapigano na uvunjifu wa amani.
Pia wapo wachunguzi wengine

wanasema maandamano haya yanasukumwa na baadhi ya mataifa yenyenguvu za ushawishi duniani.
Ikumbukwe kwamba vyama vya upinzani nchini vimeandaa
maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika sep 1 kama yalivyo pangwa huku kukiwa na mivutano mikubwa na serikali ambapo madai ya wapinzani yanahusisha serikali
kukiuka katiba.

source: ofisa uhamiaji (uwanja wa ndege JKNIA)

MY TAKE

Kwa mjibu wa nyaraka za MOSSAD, CIA, RAW na FSB juu ya elimu ihusuyo "kiwango cha hali ya hatari katika eneo la kiraia" ambacho hupimwa kwa
kipimo kiitwacho Def Cond, inasema, "Pale majadiliano ya meza yanaposhinwa kuleta jibu chanya, wanamjadala hususia meza, ambapo katika kipimo husomeka Def Cond 0001".


Ikitokea kuwa hata huko walikoamua wanamjadala hao kupeleka hisia zao nako kukazuiwa, hasira ya
wanamjadala hao huongezeka na kuwa Def Cond 0002. Hatua ya mwisho ya wanamjadala hawa huwa ni kwenda kwenye mahakama ya umma, hapa kipimo husomeka Def Cond
0003.

Hiki ni kipimo kikubwa katika medani ya kiusalama kwa mambo ya ndani, ambapo matokeo yake shughuli katika
jamii husimama, serikali hushindwa kutawala wala kuongoza. Katika lugha nyingine huitwa mgogoro wa ndani,kisiasa,kikatiba nk...



Zingatia hali hii haizai vita, kwani ili vita kamili ya ndani izaliwe lazima hali ya hatari isomeki Def Cond 0006. Na ili
vita kamili izaliwe katika ya taifa na taifa lazima hali ya hatari isomeke Def Cond 0008.

Ulimi ndio sila izaayo vita, na ulimi ndio silaha imalizayo vita..
. Hakuna silaha kubwa duniani kama Ulimi wa binadamu.

Watapata aibu wenyewe sisi watanzania hatuna mambo ya kukuza hivyo watashangaa suluhu inapatikana kama kuna kasoro
 
Acheni umbeya, hasa wa kuunganisha story na matukio.

Hao jamaa wameshuka kibao hapa Songwe airport Mbeya - wanaelekea Kitulo na maeneo mengine kushuhudia kupatwa kwa jua.

Msijifariji hakuna wa kuandamana, mzungu hawezi take risk ya kuleta mwandishi wake eneo ambalo kuna security alert, sana atatumia local journalists kwa ajili ya coverage.
somalia baghdad liberia syria unadhani security yao iko vipi?kila siku unawaona wazungu
 
Hakuna maandamano yoyote hao wamezoea kuchochea fujo angalia walipojazana Tunisia na maswali yao kwa waandamanaji, hapa kwetu no sisi tulifunzwa suluhu Amani iwe nasi
 
Back
Top Bottom