mjlwmusiba
Member
- Jun 19, 2014
- 29
- 8
Hiyo idadi umeitoa wapi?
Hiyo idadi umeitoa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo idadi umeitoa wapi?
Hiyo idadi umeitoa wapi?
Mkuu, hujitambui. UN haitumi waangalizi wake kwenye maandamano, na hiyo haijawahi kutokea popote. vyombo vya habari vina kazi ya ku report matukio duniani kwa ajiri ya kuhabarisha ulimwengu dhidi ya yanayotokea. sijui kama elimu zenu zinawasaidia kujitambua? what a shame..!Tunawakaribisha kuona maajabu asilia ya dunia ili wakirudi kwao wawe mabalozi wazuri wa utalii wetu Tanzania.
Vinginevyo watawaona jamaa wachovu wachache wakiandamana chini ya uangalizi mdogo wa polisi kisha viongozi wao wachovu pia wakitokwa povu kuhutubia hoja mfu kwa viumati visivyo na tija!
BTW: WAANGALIZI KUTOKA UN WATAKUWEPO?
Uelewa wako ni kinyume. Kama kuna security alert waandishi wabobeshi wanaeeza wakatumwa kuriport wakisaidiana na locals.Acheni umbeya, hasa wa kuunganisha story na matukio.
Hao jamaa wameshuka kibao hapa Songwe airport Mbeya - wanaelekea Kitulo na maeneo mengine kushuhudia kupatwa kwa jua.
Msijifariji hakuna wa kuandamana, mzungu hawezi take risk ya kuleta mwandishi wake eneo ambalo kuna security alert, sana atatumia local journalists kwa ajili ya coverage.
Wanaweza, ila si of that massive kama tunavyotaka kuaminishwa kwamba jamaa wameishaingia kwa wingi.Uelewa wako ni kinyume. Kama kuna security alert waandishi wabobeshi wanaeeza wakatumwa kuriport wakisaidiana na locals.
Uzuri hawa hawerembi,hawaogopi mtu wala kujipendekeza ila msije kushangaa wanawakee mashariti jinsi ya kufanya kazi yao au hata kufukuzwa nchini na wakiwafukuza wasahau misaada.