Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

Hio app inaku alert sehemu zenye speed limit fulani ukizidi inakutaarifu. Haizuii tochi wala nini.
Haiwezi kuleta alets kama haijakuwa feeded na binadamu kwenye eneo husika. Ni lazima ujue kuwa hapa Pana traffic camera halafu unaingiza kwenye app. Jiulize kwanini traffic huwa wanahamahama sana. Wenye mabasi ndiyo wanajua location ya camera ilipo sababu Wana informers on the ground.
 
safi sana mkuu umeifafanua vizuri mkuu
 
Mkuu wazee wa GPS huko duniani wamesha feed data zote. Nilikuwa na hio app nimeitoa. Hadi darajani Kigamboni inajua kuna 30kph zone inakutaarifu. Yenywe inajua speed limit maeneo yote kama umezidi limit inakupa alert kuwe na tochi au la.
 
Una kiwango gani Cha elimu. Speed camera zipo miaka zaidi ya 20 Sasa wewe Bado hujui lolote mpaka 2024. Aibu kubwa sana
kuna watu hawajui chchte kama rais ni samia sembuse mimi hilo ni suala la kufatilia tu na siyo suala la elimu acha ulimbukeni na ujuaji
 
Duuuuuh
 
Mkuu wazee wa GPS huko duniani wamesha feed data zote. Nilikuwa na hio app nimeitoa. Hadi darajani Kigamboni inajua kuna 30kph zone inakutaarifu. Yenywe inajua speed limit maeneo yote kama umezidi limit inakupa alert kuwe na tochi au la.
Hiyo ni speed limit sababu Kuna vibao vya speed limit njiani. Hiyo imekuwa feeded na Google ambao walikuja na kutembea physical kuingiza datas. Hakuna sehemu ambayo hakuna kibao Cha speed limit ikaleta alert kuwa hapa na speed camera
 
Mkuu ni Satellite ndio inatumia na pia zipo za 3D download Waze Application inakuambia polisi wapo mbele hata kabla haujaanza safari kama pana shimo inaongea ipo kitambo na ndio watu wengi huku wanaitumia kwa bara bara ngeni kama anaitafuta boarder sielewi hapo unakataa nini?
 
Hiyo ni speed limit sababu Kuna vibao vya speed limit njiani. Hiyo imekuwa feeded na Google ambao walikuja na kutembea physical kuingiza datas. Hakuna sehemu ambayo hakuna kibao Cha speed limit ikaleta alert kuwa hapa na speed camera
Ndio nilichosema mimi. Hio app inaku alert sehemu zenye speed limit na ndio wazee wa tochi wanakaa. Sio kwamba zinajua kuna tochi. Mfano sehemu ya 50kph ukipita na 80kph inakushtua na ndio wazee wa tochi wanapotega.
 
Hiyo ni speed limit sababu Kuna vibao vya speed limit njiani. Hiyo imekuwa feeded na Google ambao walikuja na kutembea physical kuingiza datas. Hakuna sehemu ambayo hakuna kibao Cha speed limit ikaleta alert kuwa hapa na speed camera
Usibishane na RRondo goggle Watembee wapi mkuu wanatumia satellite inawapa taarifa za chini yaani ipo application inakupa mtaa mfano Kerk Street ukizoom inaonyesha hadi idadi ya gari zilizopaki muda huu pale kwa hiyo goggle wanatembea kuhesabu magari aisee mambo ni moto moto...
 
Umekubali mwenyewe hujui kitu. Sasa ndiyo ufuatilie ujifunze Ili uongeze elimu ikusaidie usije kutapeliwa kizembe. Aibu kubwa
jaribu kunitapeli basi kama unaona ni rahisi kama uanavyojitoa akili
 
Kurahisisha weka Jina la hiyo app halafu tuone jinsi inavyo Fanya kazi. Weka ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…