Vyombo vya ulinzi na usalama barabarani , lichunguzeni haraka sana suala hili na kama ni kweli basi mfanye ufumbuzi ili kunusuru Maisha ya Watanzania

Kurahisisha weka Jina la hiyo app halafu tuone jinsi inavyo Fanya kazi. Weka ushahidi
Sio ushahidi nakufundisha kitu usichokijua bure..download waze.
Hizo kofia ni polisi hao nikitoka hapa najua ntakutana nao huko..
 
Attachments

  • Screenshot_20240630_123428_Waze.jpg
    Screenshot_20240630_123428_Waze.jpg
    576.3 KB · Views: 3
Hizi tumezikagua ni tofauti na Waze hizi zingine zinatumia bara bara kuu tu bila kuangalia iliyo fupi na hazitoi taarifa ya msongamano au ajali mbele ili ubadili route...ila zimesaidia kututoa kwenye kutumia kusoma ramani..
Nyie ma pro mnajua nzuri zaidi kwasababu ya shughuli zenu. Sisi wa Dar Moro mara moja kwa miezi 6 tunatumia za kawaida. Hata hivyo niliacha kutumia kwasbabu nishazizoea njia za Tz.
 
Ungejua traffic radars zinavyofanya kazi,usingeandika huu uzi,

Tochi hutoa waves kutoka kwenye radar na kwenda kuigonga gari,halafu inakua reflected na inabaunce back kwenye radar,halafu tochi ndio ina analyzes changes kwenye signals frequence,na hapo ndio inacalculate speed,yani zile waze zilizoganga Gari yako hupimwa speed yake wakati zinarudi kwenye radar husika,

Hizo App labba zitakupa alert tu kujua kua Speed camera zimakua installed eneo gani,na hiyo ni kawaida tu kwa Apps zinazofanya kazi kama Google map.
 
Sio ushahidi nakufundisha kitu usichokijua bure..download waze.
Hizo kofia ni polisi hao nikitoka hapa najua ntakutana nao huko..
Ubishi wa kitanzania tu. Soma hiyo hapo chini Kwa faida Yako

Manage speed camera alerts​

Speed cameras record your vehicle's speed as it drives past a specific point. If you're driving over the speed limit, you’ll get both an alert on the map and a voice alert. If you're driving at or under the speed limit, you’ll only get an alert on the map.

Note: Speed cameras are added to the map based on reports from our partners and map editors – if a speed camera wasn't reported by an editor or partner, Waze may not know about it.
 
Mkuu hao jamaa wanaongea hivyo ili ukipotea au ikitokea tatizo lolote usiwapeleke mahakamani hapa pana kesi nyingi mwanzo zilikua za Application zilizopita ndio maana wengi wao wanakuja na hiyo kauli..wewe endelea kuwasoma sisi tunawatumia na wanatusaidia kila kukicha tumetoka kwenye kutumia ramani sasa hivi unaibandika tu na kutembea popote...yaani upo busy kubishana na Waze daah bongo tabu sana..
 
Ubishi wa kitanzania tu. Soma hiyo hapo chini Kwa faida Yako

Manage speed camera alerts​

Speed cameras record your vehicle's speed as it drives past a specific point. If you're driving over the speed limit, you’ll get both an alert on the map and a voice alert. If you're driving at or under the speed limit, you’ll only get an alert on the map.

Note: Speed cameras are added to the map based on reports from our partners and map editors – if a speed camera wasn't reported by an editor or partner, Waze may not know about it.
Mkuu hebu wewe toa ufafanuzi kwa mtoa mada na wengine tukuelewe unachosema maana naona uko busy kubisha wengine walioeleza wanachojua.
 
Unaweza kuelewa maneno haya au mpaka tafsiri yake?
Note: Speed cameras are added to the map based on reports from our partners and map editors – if a speed camera wasn't reported by an editor or partner, Waze may not know about it.
 
Unaweza kuelewa maneno haya au mpaka tafsiri yake?
Note: Speed cameras are added to the map based on reports from our partners and map editors – if a speed camera wasn't reported by an editor or partner, Waze may not know about it.
Kwani wengine wanasemaje? App ina ku alert speed limit ambayo ukizidi ndio speed camera inakuchapa. Ndio nilichomwambia mleta mada.
 
Ni sawa. Lakini app hiewezi kujua automatically kuwa hapa Kuna speed camera bila kuwekwa kwanza kwenye app. Speed sign is not speed camera. Sababu speed camera Kwa Tanzania inatumika Kwa kujificha ila vibao vipo hadharani.
 
Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.

kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na mazungumzo yao inaonekana wao ni madereva na wanamiliki vyombo vya usafiri

''kiongozi sahivi kuna app (software) inayozuia tochi za traffic yaani hiyo mkuu ukiiwepo nayo kwenye usafiri wako ukiwasha ndinga traffic wakipiga hawawezi kujua kama ulitembea mwndo kasi"

"nitakuunganisha na jamaa anaeiuza hii lakini anafanya siri kweli kweli yaani hii inatusaidia sana madereva tuanopenda kukimbia Road"'

mwisho wa kunukuu na hayo ndiyo yalikua mazungumzo yao maana mimi nilitoka stendi na kudandia gari na kuondoka lakini lilinifikirisha sana hili suala
na kuibuka maswali mengi kichwani mwangu

je jeshi la usalama barabarani wanalijua hili?? na kama hawalijui basi Mzalendo nimefikisha habari hii ifanyiwe uchunguzi wa kina ili kuzuia ajali barabarani

Nawasilisha taarifa
Pole labda kwa kuwa hujui namna tochi za polisi zinafanya kazi.

Zile tochi zinatumia miale iwe infrared au microwave kugundua relative speed ya gari....

Tochi ili ifanye kazi lazima muale ugonge gari na kurudi kwenye tochi.ili kucalculate relative speed..... Sasa kwa kuwa tochi inatumia infrared ambayo si rahisi kuingiliwa na software unless uwe na kifaa maalumu cha kucancel ile miale lakini si software.....

Kwa kukusaidia tu huwa kuna software ambazo zinacollect data kutokana na user experience ili kujua sehemu zinakaa tochi mara kwa mara....

Sasa hii yako ni mpya na ni tango...
 
Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.

kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na mazungumzo yao inaonekana wao ni madereva na wanamiliki vyombo vya usafiri

''kiongozi sahivi kuna app (software) inayozuia tochi za traffic yaani hiyo mkuu ukiiwepo nayo kwenye usafiri wako ukiwasha ndinga traffic wakipiga hawawezi kujua kama ulitembea mwndo kasi"

"nitakuunganisha na jamaa anaeiuza hii lakini anafanya siri kweli kweli yaani hii inatusaidia sana madereva tuanopenda kukimbia Road"'

mwisho wa kunukuu na hayo ndiyo yalikua mazungumzo yao maana mimi nilitoka stendi na kudandia gari na kuondoka lakini lilinifikirisha sana hili suala
na kuibuka maswali mengi kichwani mwangu

je jeshi la usalama barabarani wanalijua hili?? na kama hawalijui basi Mzalendo nimefikisha habari hii ifanyiwe uchunguzi wa kina ili kuzuia ajali barabarani

Nawasilisha taarifa
Bro vitu vya kawaida tu, kwa hapa bongo, tuna watu serikalini vichwa vyao ni vizito kama simu za tecno, wakikutqna na kitu wasichoelewa, wao, ni kupinga tu, sio kujifunza, ndio, maaana wanamchukia Sana Lisu, maana huwa anawabomoa vzr Sana
 
Anachukua habari za kutunga anakuja JF kuandika kuwa yeye ni mzalendo wa nchi yake, ajabu kubwa uzalendo wa habari za uongo, JF mods muwe mnatoa adhabu kwa watu kama hawa, yaani tena anaandika vyombo vya ulinzi na usalama vifuatilie na ni kama vile vyombo vimelala na havijui kazi zao
, aibu kubwa sana
 
Back
Top Bottom