Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Sio ushahidi nakufundisha kitu usichokijua bure..download waze.Kurahisisha weka Jina la hiyo app halafu tuone jinsi inavyo Fanya kazi. Weka ushahidi
Kwanini wewe usitumie Google kutafuta? Zipo nyingi tuKurahisisha weka Jina la hiyo app halafu tuone jinsi inavyo Fanya kazi. Weka ushahidi
Hizi tumezikagua ni tofauti na Waze hizi zingine zinatumia bara bara kuu tu bila kuangalia iliyo fupi na hazitoi taarifa ya msongamano au ajali mbele ili ubadili route...ila zimesaidia kututoa kwenye kutumia kusoma ramani..Kwanini wewe usitumie Google kutafuta? Zipo nyingi tu
View attachment 3029736
Nyie ma pro mnajua nzuri zaidi kwasababu ya shughuli zenu. Sisi wa Dar Moro mara moja kwa miezi 6 tunatumia za kawaida. Hata hivyo niliacha kutumia kwasbabu nishazizoea njia za Tz.Hizi tumezikagua ni tofauti na Waze hizi zingine zinatumia bara bara kuu tu bila kuangalia iliyo fupi na hazitoi taarifa ya msongamano au ajali mbele ili ubadili route...ila zimesaidia kututoa kwenye kutumia kusoma ramani..
tochi inafatilia motion ya sound vibration achana na kudanganywa na wanaccm ambao wakipewa chereani wanatungia mpaka nyimbo
Ubishi wa kitanzania tu. Soma hiyo hapo chini Kwa faida YakoSio ushahidi nakufundisha kitu usichokijua bure..download waze.
Hizo kofia ni polisi hao nikitoka hapa najua ntakutana nao huko..
Mkuu hao jamaa wanaongea hivyo ili ukipotea au ikitokea tatizo lolote usiwapeleke mahakamani hapa pana kesi nyingi mwanzo zilikua za Application zilizopita ndio maana wengi wao wanakuja na hiyo kauli..wewe endelea kuwasoma sisi tunawatumia na wanatusaidia kila kukicha tumetoka kwenye kutumia ramani sasa hivi unaibandika tu na kutembea popote...yaani upo busy kubishana na Waze daah bongo tabu sana..Ubishi wa kitanzania tu. Soma hiyo hapo chini Kwa faida Yako
Manage speed camera alerts
Speed cameras record your vehicle's speed as it drives past a specific point. If you're driving over the speed limit, you’ll get both an alert on the map and a voice alert. If you're driving at or under the speed limit, you’ll only get an alert on the map.
Note: Speed cameras are added to the map based on reports from our partners and map editors – if a speed camera wasn't reported by an editor or partner, Waze may not know about it.
Manage camera alerts - Waze Help
Waze lets you know as you near cameras on your route. Camera alerts are turned on by default, but you can customize which alerts you get. Cameras are added to the map based on reports from our partnesupport.google.com
Mkuu hebu wewe toa ufafanuzi kwa mtoa mada na wengine tukuelewe unachosema maana naona uko busy kubisha wengine walioeleza wanachojua.Ubishi wa kitanzania tu. Soma hiyo hapo chini Kwa faida Yako
Manage speed camera alerts
Speed cameras record your vehicle's speed as it drives past a specific point. If you're driving over the speed limit, you’ll get both an alert on the map and a voice alert. If you're driving at or under the speed limit, you’ll only get an alert on the map.
Note: Speed cameras are added to the map based on reports from our partners and map editors – if a speed camera wasn't reported by an editor or partner, Waze may not know about it.
Manage camera alerts - Waze Help
Waze lets you know as you near cameras on your route. Camera alerts are turned on by default, but you can customize which alerts you get. Cameras are added to the map based on reports from our partnesupport.google.com
Unaweza kuelewa maneno haya au mpaka tafsiri yake?Mkuu hebu wewe toa ufafanuzi kwa mtoa mada na wengine tukuelewe unachosema maana naona uko busy kubisha wengine walioeleza wanachojua.
Kwani wengine wanasemaje? App ina ku alert speed limit ambayo ukizidi ndio speed camera inakuchapa. Ndio nilichomwambia mleta mada.Unaweza kuelewa maneno haya au mpaka tafsiri yake?
Note: Speed cameras are added to the map based on reports from our partners and map editors – if a speed camera wasn't reported by an editor or partner, Waze may not know about it.
Ni sawa. Lakini app hiewezi kujua automatically kuwa hapa Kuna speed camera bila kuwekwa kwanza kwenye app. Speed sign is not speed camera. Sababu speed camera Kwa Tanzania inatumika Kwa kujificha ila vibao vipo hadharani.Kwani wengine wanasemaje? App ina ku alert speed limit ambayo ukizidi ndio speed camera inakuchapa. Ndio nilichomwambia mleta mada.
Uache kuamini maneno ya kwenye kahawana ndiyo maana nikaleta hapa hii kama ina ukweli basi wataalamu kama nyinyi mtathibitisha shukurani sana mkuu
Pole labda kwa kuwa hujui namna tochi za polisi zinafanya kazi.Naandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.
kuna mazunumzo niliyasikia yanayohusu Teknolojia kutoka kwa watu nisiowafahamu maana nilikutana nao stendi ya basi wote tukiwa kama wasafiri tu wao walikua wawili walikua wakipiga story za hapa na pale kutokana na mazungumzo yao inaonekana wao ni madereva na wanamiliki vyombo vya usafiri
''kiongozi sahivi kuna app (software) inayozuia tochi za traffic yaani hiyo mkuu ukiiwepo nayo kwenye usafiri wako ukiwasha ndinga traffic wakipiga hawawezi kujua kama ulitembea mwndo kasi"
"nitakuunganisha na jamaa anaeiuza hii lakini anafanya siri kweli kweli yaani hii inatusaidia sana madereva tuanopenda kukimbia Road"'
mwisho wa kunukuu na hayo ndiyo yalikua mazungumzo yao maana mimi nilitoka stendi na kudandia gari na kuondoka lakini lilinifikirisha sana hili suala
na kuibuka maswali mengi kichwani mwangu
je jeshi la usalama barabarani wanalijua hili?? na kama hawalijui basi Mzalendo nimefikisha habari hii ifanyiwe uchunguzi wa kina ili kuzuia ajali barabarani
Nawasilisha taarifa
Bro vitu vya kawaida tu, kwa hapa bongo, tuna watu serikalini vichwa vyao ni vizito kama simu za tecno, wakikutqna na kitu wasichoelewa, wao, ni kupinga tu, sio kujifunza, ndio, maaana wanamchukia Sana Lisu, maana huwa anawabomoa vzr SanaNaandika kama mzalendo na mwenye upendo wa dhati na taifa langu Tanzania.