House of Commons
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 2,179
- 2,177
Kumbe kusikia na ku report issue inahitaji kiwango cha elimu? Basi elimu tunaionea sana, ulie uliza swali hili ni mjinga sanaMleta mada una kiwango gani Cha elimu. Kichwa chako huwa hakiwezi kuwa na fikira Pana. Kwani unakujua traffic camera inatumika nini mpaka uweze kuihack. Hovyo kabisa. Siyo Kila unachokisikia basi ni Cha kweli
Kuongelea simba na yanga ndio unaona umeongelea jambo la maana?Ndio Maana mimi kwenye vyombo vya usafiri ni either nikae kimya kama kuna ulazima wa kuongea niongelee Simba na yanga basi...Wambea ni wengi
Tena zaidi. Kawasikia stendi. Mpiga debe kwa ubora wakeWewe ni MPUMBAVU
yes hii ndio ipo,Ni Hatari. Mimi niliwahi Kusikia Ipo Application ambayo inakuonesha Wapi Kuna Tochi, Labda itakua wameiboresha sasa.
Utafika umechoka sana jombatochi inafatilia motion ya sound vibration achana na kudanganywa na wanaccm ambao wakipewa chereani wanatungia mpaka nyimbo
HALAFU JAMAA ANAJIFANYA MJUAJI KUMBE KICHWA MAJI TU 😁Sio ushahidi nakufundisha kitu usichokijua bure..download waze.
Hizo kofia ni polisi hao nikitoka hapa najua ntakutana nao huko..
UMENIFUNGUA UBONGO MKUUBro vitu vya kawaida tu, kwa hapa bongo, tuna watu serikalini vichwa vyao ni vizito kama simu za tecno, wakikutqna na kitu wasichoelewa, wao, ni kupinga tu, sio kujifunza, ndio, maaana wanamchukia Sana Lisu, maana huwa anawabomoa vzr Sana
Na ndiyo Maana nilikuja kuuliza humu mkuu ili nijifunzeyes hii ndio ipo,
hii ya gari kuto onekana. naona kama kamba
Sasa hapo mkuu wangenipigaje kama mkweche wangu tayali nilishaupaki kwa sababu ya mafuta kupanda now Nipo Honda yanguMtoa mada ulikuwa unapigwa vizuri bahati yako 🤣🤣
Daah...HALAFU JAMAA ANAJIFANYA MJUAJI KUMBE KICHWA MAJI TU 😁
Za kuambiwa..