Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,189
- 6,140
Gentleman,“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Mungu awabariki Watumishi wa Mungu.“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Kukaa kimya ni kusalimu amri ya kutekeleza majukumu ya kijamii, ni sawa kuitekekeza jamii iharibikiwe“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
AmeeenNasemaje..? Kuizika haki ni kufanya shughuri isiyo na faida
Itafufuka tu!
Na sasa ndo wakati wake wa kufufuka
Ccm wamezoea vya kunyonga na kulia gizan“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Hivyo hivyo vyombo ndio viko bega kwa bega na ccm“Nani anaharibu amani, anayetumia nguvu uchaguzi uende anavyotaka yeye au anayesema turudi mezani mfumo wa sasa hautupi viongozi wanaopatikana kwa HAKI na KWELI?..Waliokamatwa kwa kudai HAKI wakiwepo viongozi wa vyama vya siasa waachiwe haraka bila Masharti” Askofu Pisa, Rais TEC
Tanzania hakuna vyombo vya Usalama bali vyombo vya CCM na machawa wa Mama
Inasikitisha sanaVyombo vya usalama vimekaa kichawa chawa tu. Ni full ccm na ndugu zao.
Ikitokea Jeshi lime chukua hii nchi au Chama Kingine kazi ya kwanza ni kuvunja Kitengo cha Siasa TISS. Chanzo kikuu cha nchi hii kuwa masikini na kukosa maendeleo ya uhakika ni Kufungamana na CCM na TISS kupitia kitengo cha siasa cha TISSVyombo vya usalama vimekaa kichawa chawa tu. Ni full ccm na ndugu zao.
Ni wale waliozoea wizi wa kura..Gentleman,
ni nani huyo ambae anataka Uchaguzi uende anavyotaka yeye?