mtaa umetulea
JF-Expert Member
- Nov 17, 2020
- 1,840
- 2,381
Mo aondoke nchi aporwe Mali zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo anatakiwa awe mfano kwa kusulubiwa barabara...Mtahangaika sana!
Aliyemdukua MEMBE, KINANA, NAPE na akina MAKAMBA mlimchukulia hatua gani?
Kumbuka hajji hataki kushindwa kwenye huu mpambano na silaha yake kubwa ni kupata watakao muunga mkonoaalipomtaja Senzo na Diamond . Niliona si Porojo. ana connection ya kutosha kwenye Uzi wake.
Hans Pope alisema ni mkataba wa 4M , Hajji kasema ni 3M.. Hans aje akanushe sasa!
Kigwangala alisema Mo hajatia hela na anazungusha. Kaduguda akiwa kiongozi wa simba alijibu hela tayari na Mo hakusema kama ni kweli au si kweli.
We huoni nani wa kutiliwa mashaka?
Kumbuka hajji hataki kushindwa kwenye huu mpambano na silaha yake kubwa ni kupata watakao muunga mkono
kwanza hakutegemea kama kuna siku ataondoka kwa jinsi alivyoondoka kwahiyo anachokifanya nikuonesha kuwa ameonewa na amenyanyasika.
Kwasasa anachotaka kutuaminisha ni kuwa Mud na brbra ni wakosaji, kumbuka alivyotolewa senzo na kuingia brbra ni huyuyu hajji alipamba.
Yote kwa yote acha waendelee kuvurugana
Kumbuka hajji hataki kushindwa kwenye huu mpambano na silaha yake kubwa ni kupata watakao muunga mkono
kwanza hakutegemea kama kuna siku ataondoka kwa jinsi alivyoondoka kwahiyo anachokifanya nikuonesha kuwa ameonewa na amenyanyasika.
Kwasasa anachotaka kutuaminisha ni kuwa Mud na brbra ni wakosaji, kumbuka alivyotolewa senzo na kuingia brbra ni huyuyu hajji alipamba.
Yote kwa yote acha waendelee kuvurugana
Mo anatakiwa awe mfano kwa kusulubiwa barabara...
Pole sana.Ningekuwa mod ningeitupa kapuni
Inawezakuwa kweli au porojo tu kisa wamempiga chini
Tena alikuwa anasema hadharani anazi "trepu" simu🤣Mtahangaika sana!
Aliyemdukua MEMBE, KINANA, NAPE na akina MAKAMBA mlimchukulia hatua gani?
Unajua kina Hamisi walkiacha laana na laana itamtokea mtu hadharani siku moja.Manara ni muongo mkubwa anasema "Mo Dewji alinipigia simu akaniambia eti kwanini ninamzidi umaarufu wakati mimi nimekuzidi hela"? Huu ni uongo. Ni kitu kisichowezekana ila mashabiki vilaza wa Simba wataamini huu uongo.
Swadakta..[emoji106]Ikihibitika
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ogopa mademu wembamba bro.note pahali hii sentensi utanikumbuka[emoji16]
Nakumbuka enzi za jiwe nae alikuwa na izi mambo sana,
Kudukua ni kitendo cha kupata taarifa za mtu bila idhini yake mfano sehemu alipo mtu ni kosa la kisheria wewe kufahamu (ndio hayo mambo ya minara ya simu) . Kudukua ni swala pana sana Boss so ni wewe ndio huna ufahamu nalo ila sisi waswahili tunalifahamuWaswahili tuna shida wengi hatujui nini maana ya kudukua?! Kudukua ni kusikiliza mawasiliano ya watu wengine au kuingilia mawasiliano ya watu wengine na kuyasikiliza kwa minajili yeyote ile ya kujinufaisha au kujifurahisha.
Ila swala la kujua mtu yuko wapi?! Ni swala la kawaida mno kwa teknolojia ya sasa,simu zetu zina access na app ambazo unaweza kujua mtu anaekupigia au unaempigia yuko wapi ni suala la kawaida sana.
Usipinge sana. Yawezekana Mo alisema hivo akiwa serious au kwa utani. Kama umewahi kuishi na matajiri hawa wa kihindi na kiarabu unaweza kuamini maneno ya manara, kuna mwarabu mmoja ana akili za hivo yani kitu kidogo tu anazungumzia utajiri wakeManara ni muongo mkubwa anasema "Mo Dewji alinipigia simu akaniambia eti kwanini ninamzidi umaarufu wakati mimi nimekuzidi hela"? Huu ni uongo. Ni kitu kisichowezekana ila mashabiki vilaza wa Simba wataamini huu uongo.