Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

Vyombo vya Usalama vichunguze tuhuma za Uhalifu wa Mo Dewji na Genge lake kudukua mawasiliano ya watu/wafanyakazi wake

Ningekuwa mod ningeitupa kapuni
 
aalipomtaja Senzo na Diamond . Niliona si Porojo. ana connection ya kutosha kwenye Uzi wake.

Hans Pope alisema ni mkataba wa 4M , Hajji kasema ni 3M.. Hans aje akanushe sasa!

Kigwangala alisema Mo hajatia hela na anazungusha. Kaduguda akiwa kiongozi wa simba alijibu hela tayari na Mo hakusema kama ni kweli au si kweli.

We huoni nani wa kutiliwa mashaka?
Kumbuka hajji hataki kushindwa kwenye huu mpambano na silaha yake kubwa ni kupata watakao muunga mkono

kwanza hakutegemea kama kuna siku ataondoka kwa jinsi alivyoondoka kwahiyo anachokifanya nikuonesha kuwa ameonewa na amenyanyasika.

Kwasasa anachotaka kutuaminisha ni kuwa Mud na brbra ni wakosaji, kumbuka alivyotolewa senzo na kuingia brbra ni huyuyu hajji alipamba.

Yote kwa yote acha waendelee kuvurugana
 
Uzi hautaki kuyajadili hayo mkuu.

Uzi unajadili uwezekano wa Jinai kufanyika hapo katika udukuzi. Tungejikita hapo.

Mijadala ya Mo+Babra vs Manara ipo Mingi
 
Manara ni muongo mkubwa anasema "Mo Dewji alinipigia simu akaniambia eti kwanini ninamzidi umaarufu wakati mimi nimekuzidi hela"? Huu ni uongo. Ni kitu kisichowezekana ila mashabiki vilaza wa Simba wataamini huu uongo.
Unajua kina Hamisi walkiacha laana na laana itamtokea mtu hadharani siku moja.
 
Kwa Utajiri alionao MO kudukua mawasiliano ya wanamhusu tena kwa hapa Tanzania si kitu cha ajabu. Kila kampuni ya simu ina kitengo cha Network operations wanakuwa na Ofisi ina minara mikubwa na Switch kwa Voda switch yao iko pale oysterbay laibon na goba kwa kayuni.Tigo nadhani ipo africana kwa juu na buyuni chanika.

Kwenye ofisi hizo kuna wanadamu kama sisi wenye matamanio ya pesa kama sisi so upo uwezekano ukitumia pesa unaweza kupata report ya simu ya mtu unayetaka kumdukua na kila kitu calls,sms, Cellbroadcast yaani taarifa za mnara anaotumia kupata network hii hukuonyesha mahali alipo exactly etc.

Ipo teknolojia ingine niliona police wakivamia nyumba moja hugo kinondoni walikuwa wanafuatilia simu mpaka chumba ilipokuwa

Ila manara alivyoongea tumepata kujua the dark side of Mo...
 
Nakumbuka enzi za jiwe nae alikuwa na izi mambo sana,
 
Waswahili tuna shida wengi hatujui nini maana ya kudukua?! Kudukua ni kusikiliza mawasiliano ya watu wengine au kuingilia mawasiliano ya watu wengine na kuyasikiliza kwa minajili yeyote ile ya kujinufaisha au kujifurahisha.
Ila swala la kujua mtu yuko wapi?! Ni swala la kawaida mno kwa teknolojia ya sasa,simu zetu zina access na app ambazo unaweza kujua mtu anaekupigia au unaempigia yuko wapi ni suala la kawaida sana.
Kudukua ni kitendo cha kupata taarifa za mtu bila idhini yake mfano sehemu alipo mtu ni kosa la kisheria wewe kufahamu (ndio hayo mambo ya minara ya simu) . Kudukua ni swala pana sana Boss so ni wewe ndio huna ufahamu nalo ila sisi waswahili tunalifahamu
Kudukua inaanzia kusikiliza calls, kutazama contents za kifaa cha mtu, kujua mtu huyo yuko wapi (hayo mambo ya mtu anatumia mnara gani) hadi taarifa zake mfano simu yake amesave namba gani nk hivo basi usitulaumu waswahili mkuu ni wewe ndio hukua unajua maana ya kudukua
 
Usisikilixe upande mmoja hiyo si principle of natural justice
 
Manara ni muongo mkubwa anasema "Mo Dewji alinipigia simu akaniambia eti kwanini ninamzidi umaarufu wakati mimi nimekuzidi hela"? Huu ni uongo. Ni kitu kisichowezekana ila mashabiki vilaza wa Simba wataamini huu uongo.
Usipinge sana. Yawezekana Mo alisema hivo akiwa serious au kwa utani. Kama umewahi kuishi na matajiri hawa wa kihindi na kiarabu unaweza kuamini maneno ya manara, kuna mwarabu mmoja ana akili za hivo yani kitu kidogo tu anazungumzia utajiri wake
 
Back
Top Bottom