chuma kinatua Jumatatu watu huku jambajamba tayari.
Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
Jibu ni rahisi tu ndugu yangu, ni kwa nini yesu aliwazuia wafuasi wake wasizuie kukamatwa kwake pale maaskari walipokuja na Yuda kumkamata? Ukijua hilo basi, yatosha kutokuendelea kuuliza hilo swali tangu asubuhi...Lissu ndiye pekee anayeweza kujibu hilo swali au ni mbwa pekee anayejua kwanini anamsogelea Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia...majibu mengine yote yasiyotoka kwa wahusika wenyewe yatakuwa either in hearsay au speculations...Sijui ni kwanini Siku zote Mbwa hupenda sana Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia.
chuma kinatua Jumatatu watu huku jambajamba tayari.
Lissu noma!
This is silly for you! Umetia kinyaa na ukongwe wako humu lakini kichwani u mtupu kama kenge.
Hakuna sababu yoyote ile inayomzuia raia yeyote halali wa nchi yake kurejea kwao.
Uhamiaji wanaweza kuzuia kutoka bali si kurudi kwenu kajifunze hayo we mbayuwayu!!
Lissu noma!!Hahahaaaa ngoja tusubiri tuone
Uhamiaji hawawezi kupoteza muda wao kuangalia "madhumuni ya safari" kwa MTANZANIA anayerudi Nchini. Usipotoshe. Au na Uraia mlishamvua?Kitakachopatikana kwenye mahojiano ndicho kitakachoelekeza hatua zitakazofuata.
2. Angalia madhumuni ya safari na sababu za kurudi.
Jibu ni rahisi tu ndugu yangu, ni kwa nini yesu aliwazuia wafuasi wake wasizuie kukamatwa kwake pale maaskari walipokuja na Yuda kumkamata? Ukijua hilo basi, yatosha kutokuendelea kuuliza hilo swali tangu asubuhi...Lissu ndiye pekee anayeweza kujibu hilo swali au ni mbwa pekee anayejua kwanini anamsogelea Kujipeleka kwa Nyoka aina ya Chatu ili akamezwe na Kuuwawa nae hata kama ukijitahidi Kumzuia...majibu mengine yote yasiyotoka kwa wahusika wenyewe yatakuwa either in hearsay au speculations...