Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Umeona utolopo wako ulioandika?? Ulikuwa unawafurahisha mabwana zako, ili wakufikirie kwenye kura za maoni ee?
Ni maoni tu haya usiwe na kiherehere kukimbilia kuandika upumbavu.

Mimi si mwanasiasa.
 
Sasa kama umeshajua kuwa Mimi ni Tapeli na najifanya Mtu wa TISS kwanini tu 'usiniripoti' Kwao ili 'nikamatwe' kwa 'Utapeli' huu hapa Nchini?
Tapeli wa kuunga unga vijistori vya kwenye vijiwe vya kahawa na kutaka kuaminisha watu humu. Mataga mnahangaika sana, hii nchi sio mali ya GENGE la wahuni wachache tu hapo Lumumba. Zingatia hilo kwenye posts zako uchwara. CCM HOYE.
 
Tapeli wa kuunga unga vijistori vya kwenye vijiwe vya kahawa na kutaka kuaminisha watu humu. Mataga mnahangaika sana, hii nchi sio mali ya GENGE la wahuni wachache tu hapo Lumumba. Zingatia hilo kwenye posts zako uchwara. CCM HOYE.
Na kuna 'Utafiti' umefanyika unaosema kwamba 99.999% ya Watu 'Matapeli' pia ni 'very Brainiac / Einstein' hivyo kuniita 'Tapeli' nimefurahia sana.
 
Upo? Kulitokea nini na nini kinaendelea kwa sasa juu ya huyu Messiah?

Ni hivi mdogo dogo tu na HATUA kwa HATUA na KIHUNZI kimoja baada ya KINGINE mwisho wa siku mkiwa midomo wazi kwa taharuki huku mkiwa mnajiuliza yamekuwaje mambo haya...

Mara vuuu bin vuuu, Tundu Lissu ni Rais wenu na wa JMT...!!

All writings are on the WALL. Asomaye na afahamu..
 
Mataga kwa kuwa nyie mnajifanya WAZALENDO mshindo basi tokeni Jamii forum ,muende kuzima moto Mlima Kilimanjaro. Uzalendo sio kusifia utopolo bali ni kupigana kwa jasho na damu kuilinda nchi yako! #MtajuaHaumjuiMwakaHuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…