Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Wakati mwingine kujisahaulisha na kujitoa ufahamu kunasaidia kupunguza MIWEWESEKOMajibu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine kujisahaulisha na kujitoa ufahamu kunasaidia kupunguza MIWEWESEKOMajibu gani?
ok nafikili wametimiza wajibu wao ila mungu anasema wanachokitafuta si mda watakipata ,si ujumbe wangu ila ukidhaulika sawa tu , maana mungu huwatumia watu hata kama hawabebi biblia japo serikari haina dini ila mungu rais wa mataifa yoteKuna wajinga huku mtaani wanaendelea na vikao na mikutano ya kupiga kura asa CCM huku wakijua tupo kwenye kuomboleza aiseee...
Hivi hii sini laana kwa chama? Kwani wangesogeza mbele kuna tatizo gani
Uelewa wako katika mambo ya kidola ni mdogo sana endelea na saccos yako!
Soma Biblia utajua maana ya usaliti huwezi kupata tafasiri ya usaliti kwenye Penal Code au sheria yoyoteMkuu wewe umesema snowden akikamatwa kesi haitopelekwa mahakamani si ndio? Sasa ndio nakuelewesha kesi aliyofunguliwa ni dhidi ya ''Non-Disclosure agreements'' kwa mikataba aliyoingia akiwa CIA/NSA na wala sio usaliti!!
Je unaweza kukiri umepotosha jukwaa kwa kutoa taarifa za uongo? Btw, Hivi Lissu ni msaliti kuliko Chenge au Lugola?
Mkuu nilichogundua wanaCCM wengi wanakaririshwa maneno tu lakini ukiwaambia wajielezee wanakimbia. Ni kma ule msemo "Upinzani hauna sera" ila ukiwauliza hta kma wamesoma Bajeti kivuli au machapisho ya ''sera mbadala'' hawajawahi!! Wanaendeshwa kama mazombie tu.Hujui chochote kuhusu usaliti, ndio maana umelivaa hilo neno usaliti kichwa kichwa, ukiambiwa usaliti ni nini wala hujui, zaidi ya kurudia upuuzi unatemwa na mazoba wenzako hapa jukwaani.
Sasa mhe. Mkapa si umri umeenda mzeerisasi 16 ziliingia mwilini hakufa.
Mkapa hajarushiwa hata jiwe lakini chali.
so.... hivi vitu vya chekechea unavyovitaja havimbambaishi wala kumtisha Lissu.
da mkuu umeandika vizuri japo sijawai panda ndenge ,thanksMawe kutupiwa umeyataka mwenyewe kwa kutuwekea habari za uongo.
1. 28th July Fly Dubai wa Emirates Airlines hazijaanza safari za huko kwetu hadi 1st August. Lakini Brussels to Dubai Emirates inafanya kazi.
2. LISSU itakuwa anatumia pp ya zamani, hiyo PP inamruhusu kurudi nyumbani tuu na akifika hawezi itumia tena, na pia tuna ubalozi brussels anaweza pewa pp mpya kupitia ubalo,i au hata cheti cha go home.
Unaposema uongo, jaribu kuufananisha na ukaribiane na ukweli
Hivi tukifuata kanuni za Biblia kuna mwana CCM atapona? Hvi Rais anavyolindwa kwa mazindiko kibiblia si angeshapigwa radi!!Soma Biblia utajua maana ya usaliti huwezi kupata tafasiri ya usaliti kwenye Penal Code au sheria yoyote
Mkuu sisi ndio tumeshika dola tangu nchi hii ipate uhuru, hatuna sababu ya kumsikiliza kimburu yoyote we are here to stay. Tanzania is our country and we will rule in accordance to the constitution yetu sio ya Marekani au mahali pengine popote wether you like it or not. Endelea kunywa konyagi na changaa.
Unanilambisha nini konyagi?Hiki unachojivunia hata walioingia madarakani kwa kupindua nchi huwa wanajivunia. Sifa sio kukaa madarakani, bali unakaa vipi? Hapo ndio hoja ilipo. Huoni unajivunia kukaa madarakani muda wote huo, lakini nakulambisha mchanga tu?
Kwa hiyo unafikiri Lissu hana Passport halali ama unamaanisha nn?Tundu Lissu ameripotiwa kuwa ameaga rasmi huko Ubelgiji na ataunganisha ndege jijini Dubai kabla ya kutua JNIA.
Maofisa wa Uhamiaji pamoja na wale wa Usalama (wapya) waliopo JNIA wapo wanaendelea na shughuli zao.
Kuna mawili matatu hivi kutoka kwa maofisa uhamiaji na usalama.
1. Mgeni huyu (Tundu Lissu anatumia pasi ipi ya kusafiria)
Hivyo utaratibu wa kumpokea Tundu Lissu waweza kuchukua muda mrefu.
Kitakachopatikana kwenye mahojiano ndicho kitakachoelekeza hatua zitakazofuata.
2. Angalia madhumuni ya safari na sababu za kurudi.
3. Afisa uhamiaji kuridhika na majibu kulingana na sheria ya uhamiaji na kama kuna "ya ziada"
4. Idhinisha kuingia kwa kugonga muhuri wa kuingia au toa muda maalum ikiwa ni pasi ya kigeni.
5. Kama ni Tundu Lissu zuia "self check- in" na muongoze chumba cha mahojiano.
Hizi ni za hapa na pale.
JNIA imebadilika sana kuna watu wapya na wengi mno ambao wanahakikisha usalama wa uwanja, udhibiti wa kitokacho na kiingiacho na mazagazaga mengine.
Kuna kijana wa Nigeria alishindwa kueleza kwa ufasaha amepataje pasi ya kusafiria ya kitanzania ilhali hafahamu lugha ya kiswahili.
Wakamchukua kuingia kwenye vyumba vyao maalum kwa mahojiano maalum.
Msinitupie mawe mazee haya nimeyapata na mengine kuyaona hapo JNIA nilipotua mchana leo.
Hivi nyinyi kwa akili zenu finyu mnadhani nchi hii inaendeshwa kwa siasa za wanaharakati wa mtandao wa jamii forum sio?? Yaani mmekazana kweli kumnadi chiziNi kweli uelewa wangu ni mdogo sana wa mambo ya kidola, lakini hata ningekuwa huko kwenye mambo ya dola, nisingeweza kumsubiri mwanasiasa aliyekwenda kwenye matibabu nje ya nchi kama gaidi. Tena kumsubiri kwenyewe iwe ni kwa kutumwa, na wanasiasa hao hao waliojichanganya kwenye siasa huku wakiwa hawaziwezi.
Kwa kuwa bavicha wamekuwa wakisisitiza uwepo wa janga la Covid 19 na linaua watz kwa namba kubwa basi ni simple tu anapokelewa, tunakolokochoa thermometer tunaipandisha degree kadhaa juu so akiwa na joto normal jumlisha point kadhaa tulizoongeza ngoma inasoma 39.2C. Anawekwa karantini siku 14, mpaka atoke tayari kawa neutralized na presha mtaani zimepungua na kawa wa kawaida hence easy kudeal nae.
Definetly yes its a requirement, in this situation your country Embassy gives u a go home. Jee tunajuaje pengine Lissu alijaza maombi ya pp mpya na amepata na ndio anayotumiaVipi kuhusu airlines kutaka PP iwe "Valid" kwa miezi 6 haiathiri chochote kwa msafiri?
Anamaanisha kama Lissu atakuja na passport ya Ubelgiji atachukuliwa kama mgeniAliyekuambia Lissu ni mgeni nchi hii ni nani? Mods hebu punguzeni hizi mada za kisengerema tumechoka nazo.
Mkuu nilichogundua wanaCCM wengi wanakaririshwa maneno tu lakini ukiwaambia wajielezee wanakimbia. Ni kma ule msemo "Upinzani hauna sera" ila ukiwauliza hta kma wamesoma Bajeti kivuli au machapisho ya ''sera mbadala'' hawajawahi!! Wanaendeshwa kama mazombie tu.
Inashangaza sana
mmm mbona viongozi wetu huwa tunawaokea na kama si ilo mbona ndege zetu huwa tunakusanyika kuzipokea mkuuAirport si sehemu nzuri kwa mkusanyiko mkubwa wa kimaandamano....
Unanilambisha nini konyagi?