Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Tetesi: Vyombo vya Usalama vilivyojipanga kumpokea Tundu Lissu

Airport si sehemu nzuri kwa mkusanyiko mkubwa wa kimaandamano....
 
we ng'ombe kweli kweli, uloliona wapi Rais wa nchi akaomba kibali kuzungukia nchi yake?? Yaani wafuasi wa Lissu akili zenu sawa na za nyumbu
Umesoma Presidential services Act? Shule ndogo ndio changamoto!! Embu kagoogle urudi kujishangaa mwenyewe.
 
Huyu jamaa siku hizi ni mtu mzima HOVYOO!
Kuandika ujinga ujinga ndiyo imekuwa hobby yake. 👊🏽👊🏽👊🏽
Mkumbuke kuna "watu wanang'atuliwa baada ya kutia nia..."
 
Usaliti huwa haupelekwi mahakamani wewe zero brain. Kasome Biblia ujue adhabu ya msaliti ni ipi? Hata mabeberu wanalijua hilo ndiyo maana Snowden amekimbia nchi. Na huyo msaliti wako hawezi kuwa Rais milele acha ale pesa za watu wasiojitambua kama wewe!

Hujui unaloongea zaidi ya kuleta siasa za kitoto hapa jukwaani. Snowden alikuwa kwenye taasisi ya kijasusi, wakati Lissu ni mbunge na wakili tu. Hajawahi kuona siri zozote kwenye vitengo vya nchi hii vyenye siri. Hakuna mbunge yoyote aliyewahi kuona mkataba wowote wa siri ndani ya nchi hii, labda kama amewahi kuwa waziri.

Huko ulaya alienda kwa matibabu, na wala hakwenda kama mkimbizi wa kisiasa. Huo upuuzi mnaosema Lisu kuwa ni msaliti, ni siasa chafu za ccm ili kuficha ukweli wa yule anayemtuhumu kuhusu shambulio lake, mkidhani itapunguza ukweli wa kile anachosema.
 
mpuuzi tu kenge we!!
Hahahaha nilijua tu CCM elimu ndogo na usingekuwa na ubavu wa kujibu hilo swali.

Nachoshauri muwe mnasoma kabla ya kuchangia mada, hta polepole akisoma michango yenu humu anawadharau sana.
 
Umesoma Presidential services Act? Shule ndogo ndio changamoto!! Embu kagoogle urudi kujishangaa mwenyewe.
Ndio ufala wenyewe huo, hali yako ya mnywa Konyagi ndio watu wakuamini ati presidential Act? Kama sio Upimbi ni nini?
 
Nyie bishaneni siasa za ndani, mambo ya kimataifa hamyawezi. Snowden akirudi atashtakiwa mahakamani kabisa na anaweza kufungwa/kushinda kesi na hukumu zinajulikana.

Lissu kasaliti nini? Niambie kimoja tu maana nashangaa walioingia mikataba ya kununua vifaa vya jeshi kifisadi kina Lugola sio wasaliti ila Lissu ndio msaliti? Hvi tunajitambua kweli?
Hata kusaliti nchi hujui fanya mambo yanayokuhusu mengine huyawezi.
 
Maisha yako yote utaishi kama mpinzani kwa sababu ya ukasuku na akili ndogo.

Ni kweli kabisa, ila sina tofauti kubwa ya kimaisha na wengi wanaojinyenyekeza huko chama tawala. Na ukitaka kujua niko vizuri, huoni ww uko chama tawala unatapika tu, huku nikikupa vitu vyenye ncha kali?
 
Lazima TL anyooshwe tuone hao vibaraka wake waje tupambane nao, jino kwa jino. Sisi ni nchi huru hatuwezi kuamuliwa na kinyago yoyote. Mwache aje, we are ready for him.
 
Hujui unaloongea zaidi ya kuleta siasa za kitoto hapa jukwaani. Snowden alikuwa kwenye taasisi ya kijasusi, wakati Lissu ni mbunge na wakili tu. Hajawahi kuona siri zozote kwenye vitengo vya nchi hii vyenye siri. Hakuna mbunge yoyote aliyewahi kuona mkataba wowote wa siri ndani ya nchi hii, labda kama amewahi kuwa waziri.

Huko ulaya alienda kwa matibabu, na wala hakwenda kama mkimbizi wa kisiasa. Huo upuuzi mnaosema Lisu kuwa ni msaliti, ni siasa chafu za ccm ili kuficha ukweli wa yule anayemtuhumu kuhusu shambulio lake, mkidhani itapunguza ukweli wa kile anachosema.
Uelewa wako katika mambo ya kidola ni mdogo sana endelea na saccos yako!
 
Hata kusaliti nchi hujui fanya mambo yanayokuhusu mengine huyawezi.

Hujui chochote kuhusu usaliti, ndio maana umelivaa hilo neno usaliti kichwa kichwa, ukiambiwa usaliti ni nini wala hujui, zaidi ya kurudia upuuzi unatemwa na mazoba wenzako hapa jukwaani.
 
Hata kusaliti nchi hujui fanya mambo yanayokuhusu mengine huyawezi.
Mkuu wewe umesema snowden akikamatwa kesi haitopelekwa mahakamani si ndio? Sasa ndio nakuelewesha kesi aliyofunguliwa ni dhidi ya ''Non-Disclosure agreements'' kwa mikataba aliyoingia akiwa CIA/NSA na wala sio usaliti!!

Je unaweza kukiri umepotosha jukwaa kwa kutoa taarifa za uongo? Btw, Hivi Lissu ni msaliti kuliko Chenge au Lugola?
 
Hujui chochote kuhusu usaliti, ndio maana umelivaa hilo neno usaliti kichwa kichwa, ukiambiwa usaliti ni nini wala hujui, zaidi ya kurudia upuuzi unatemwa na mazoba wenzako hapa jukwaani.
Njoo nikufundishe maana ya usaliti nipo hapa Masaki napata kinywaji
 
Ni kweli kabisa, ila sina tofauti kubwa ya kimaisha na wengi wanaojinyenyekeza huko chama tawala. Na ukitaka kujua niko vizuri, huoni ww uko chama tawala unatapika tu, huku nikikupa vitu vyenye ncha kali?
Mkuu sisi ndio tumeshika dola tangu nchi hii ipate uhuru, hatuna sababu ya kumsikiliza kimburu yoyote we are here to stay. Tanzania is our country and we will rule in accordance to the constitution yetu sio ya Marekani au mahali pengine popote wether you like it or not. Endelea kunywa konyagi na changaa.
 
Back
Top Bottom