Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Dada zetu ndo wana magonjwa millioni kidogo,ukute katoka tour serengeti,zen akakae kwenye kile choo cha kukalia!!
Utashangaa korodoni zinakuwasha,utatamani kuzikuna kwa gunzi aiseeee!!
Kumbe tupo wengi
Mie nanunuaga na detol kabisa ya kumwagia
Yaanj hakuna vyoo vinavyokera kutumia kama vyoo vya kukaa vilivyopo mahotelini
Mbaya sasa uwe unafanya namba 2 halafu udrop mzigo upate ile backlash ya maji! Aisee na hisi kama nimepata ebola ya kwenye tundu. Nimefikiria sana kuna na invention ya kuzuia ile back splash bila kujaza toilets paper. Nina design kadhaa! Sijui wewe umepata suluhisho?
Kwenye jumuiya choo kizuri ni cha kuchuchumaa maana wengine hawana ustaarabu wa matumizi.
Mi nikivitumia hivi vyoo,gogo huwa halitoki kwa sababu huwa nahisi najinyea!
Haahaaa yanii wee ndo kama mm; kasheshe nikiwa ugenn halafu choo ndo ivyo cha kukaa! Daah naweza nkamaliza wiki bila kukata gogo.....
Hii ni hatari mno kuchuchumaa juu yake!Upo ushahidi wa kukatika hayo ma sink ya choo na huwa yanakata kuliko upanga.Kuna picha za wadada fulani wa kizungu wamekatwa karibu kalio lote hadi hips vinaning'inia!ni ajali mbaya ukiona hutarudia huo mchezo wa kuchuchumaa juu ya hicho choo
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
umenitisha maana ndio kamchezo kangu ikitokea nimevikuta sehemu basi mimi huchuchumaa kwa juu maana hua naona ni bora na sijawahi kuvikalia. Sasa nadhan njia pekee itakua hiyo ya kuzungushia toilet pepa tu incase nikikutana navyo.
asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.
Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.
wabongo tunakosea,havifai kutumiwa kijumuiya!!!!
Mkuu umewahi kutumia vyoo vya kukaa vya hospitali au stendi?Asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.
Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.
Ndio maana mchina kaleta mapoti ya kunyea, nenda kariakoo uchague la saizi yako kwa ajili ya mgonjwa wako.Wenye matatizo kuchuchumaa je watafenyeje?
Mkuu umewahi kutumia vyoo vya kukaa vya hospitali au stendi?
Ndio maana mchina kaleta mapoti ya kunyea, nenda kariakoo uchague la saizi yako kwa ajili ya mgonjwa wako.
Vinginevyo uzi wako haukufikiria na watoto au mbilikimo ambao kimo chao hakiruhusu kupanda na kukaa juu ya vyoo hivyo.
Hivi vyoo magumashi, ukijisaidia haja kubwa, chubwiiii, kisha maji yanakurukia. Pia uchafu unabaki baki pembezoni mwa anus sababu ukikaa anus haifunguki vizuri. Sivipendi, kwenye nyumba yangu nikibarikiwa najiwekea tu vya kuchuchumaa vya 'kisasa' kwa raha zangu!
100% mkuu..Watoto wana taratibu zao na sijawahi kuona mbilikimo asie na urefu wa kutumia cha kukaa! Ndo maana nikasema maeneo ya umma, viwekwe vyote.
Kiufupi, vyoo vya kukaa vinahitaji ustaarabu katika matumizi na kutokua mvivu katika usafi wake.
Kitakwimu, duniani vyoo vya kuchuchumaa ndio vinatumika zaidi ukilinganisha na vya kukaa.