Fundisi Muhapa
JF-Expert Member
- Nov 25, 2013
- 4,422
- 2,112
Dada zetu ndo wana magonjwa millioni kidogo,ukute katoka tour serengeti,zen akakae kwenye kile choo cha kukalia!!
Utashangaa korodoni zinakuwasha,utatamani kuzikuna kwa gunzi aiseeee!!
Asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.
Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.