Vyoo vya kujisaidia ukiwa umekaa vina starehe lakini ni ‘majanga’ kwa watumiaji

Vyoo vya kujisaidia ukiwa umekaa vina starehe lakini ni ‘majanga’ kwa watumiaji

Dada zetu ndo wana magonjwa millioni kidogo,ukute katoka tour serengeti,zen akakae kwenye kile choo cha kukalia!!

Utashangaa korodoni zinakuwasha,utatamani kuzikuna kwa gunzi aiseeee!!

Asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.

Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.
 
Kumbe tupo wengi

Mie nanunuaga na detol kabisa ya kumwagia

Yaanj hakuna vyoo vinavyokera kutumia kama vyoo vya kukaa vilivyopo mahotelini

Mbaya sasa uwe unafanya namba 2 halafu udrop mzigo upate ile backlash ya maji! Aisee na hisi kama nimepata ebola ya kwenye tundu. Nimefikiria sana kuna na invention ya kuzuia ile back splash bila kujaza toilets paper. Nina design kadhaa! Sijui wewe umepata suluhisho?
 
Sijapata aisee

Design pekee ninayotumia ni kujaza toilet paper ya kutosha kuzuia maji kuruka.... na kukaa kidizaini.....

Ila sasa ukikuta vyoo vya kizamani ni shida maji yanaruka tu

Lazima uwe na exyra toilep paper kwa emergency

Mbaya sasa uwe unafanya namba 2 halafu udrop mzigo upate ile backlash ya maji! Aisee na hisi kama nimepata ebola ya kwenye tundu. Nimefikiria sana kuna na invention ya kuzuia ile back splash bila kujaza toilets paper. Nina design kadhaa! Sijui wewe umepata suluhisho?
 
Mi nikivitumia hivi vyoo,gogo huwa halitoki kwa sababu huwa nahisi najinyea!

Haahaaa yanii wee ndo kama mm; kasheshe nikiwa ugenn halafu choo ndo ivyo cha kukaa! Daah naweza nkamaliza wiki bila kukata gogo.....
 
Hii ni hatari mno kuchuchumaa juu yake!Upo ushahidi wa kukatika hayo ma sink ya choo na huwa yanakata kuliko upanga.Kuna picha za wadada fulani wa kizungu wamekatwa karibu kalio lote hadi hips vinaning'inia!ni ajali mbaya ukiona hutarudia huo mchezo wa kuchuchumaa juu ya hicho choo

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Umenitisha maana ndio kamchezo kangu ikitokea nimevikuta sehemu basi mimi huchuchumaa kwa juu maana hua naona ni bora na sijawahi kuvikalia. Sasa nadhan njia pekee itakua hiyo ya kuzungushia toilet pepa tu incase nikikutana navyo.
 
umenitisha maana ndio kamchezo kangu ikitokea nimevikuta sehemu basi mimi huchuchumaa kwa juu maana hua naona ni bora na sijawahi kuvikalia. Sasa nadhan njia pekee itakua hiyo ya kuzungushia toilet pepa tu incase nikikutana navyo.

vile ukikutana navyo mtu kaweka cha jumuiya,we kanyaga juu kwa usalama wa afya yako.kile kinastahili kutumiwa master room yaani mtu na mke wake.wakiambukizana magonjwa wao kwa wao watajuana (vinahitaji usafi wa hali ya juu )havifai jumuiya ila wabongo kwa kuiga ndo wenyewe.uchumi ukiyumba utakikimbia!
 
asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.

Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.

wabongo tunakosea,havifai kutumiwa kijumuiya!!!!
 
Hivi vyoo magumashi, ukijisaidia haja kubwa, chubwiiii, kisha maji yanakurukia. Pia uchafu unabaki baki pembezoni mwa anus sababu ukikaa anus haifunguki vizuri. Sivipendi, kwenye nyumba yangu nikibarikiwa najiwekea tu vya kuchuchumaa vya 'kisasa' kwa raha zangu!
 
Asilimia kubwa ya stori za choo cha kukaa kusambaza magonjwa ni hisia zaidi ya uhalisia. Vya kuchuchumaa kwanza vinabagua baadhi ya wanajamii.

Sijawahi kuumwa magonjwa ya sirini kutokana na vyoo vya kukaa ijapo navitumia popote pale nivikutapo.
Mkuu umewahi kutumia vyoo vya kukaa vya hospitali au stendi?
 
Wenye matatizo kuchuchumaa je watafenyeje?
Ndio maana mchina kaleta mapoti ya kunyea, nenda kariakoo uchague la saizi yako kwa ajili ya mgonjwa wako.
Vinginevyo uzi wako haukufikiria na watoto au mbilikimo ambao kimo chao hakiruhusu kupanda na kukaa juu ya vyoo hivyo.
 
Watoto wana taratibu zao na sijawahi kuona mbilikimo asie na urefu wa kutumia cha kukaa! Ndo maana nikasema maeneo ya umma, viwekwe vyote.

Kiufupi, vyoo vya kukaa vinahitaji ustaarabu katika matumizi na kutokua mvivu katika usafi wake.

Kitakwimu, duniani vyoo vya kuchuchumaa ndio vinatumika zaidi ukilinganisha na vya kukaa.
 
Hivi vyoo magumashi, ukijisaidia haja kubwa, chubwiiii, kisha maji yanakurukia. Pia uchafu unabaki baki pembezoni mwa anus sababu ukikaa anus haifunguki vizuri. Sivipendi, kwenye nyumba yangu nikibarikiwa najiwekea tu vya kuchuchumaa vya 'kisasa' kwa raha zangu!

Nimecheka sana.
 
Watoto wana taratibu zao na sijawahi kuona mbilikimo asie na urefu wa kutumia cha kukaa! Ndo maana nikasema maeneo ya umma, viwekwe vyote.

Kiufupi, vyoo vya kukaa vinahitaji ustaarabu katika matumizi na kutokua mvivu katika usafi wake.

Kitakwimu, duniani vyoo vya kuchuchumaa ndio vinatumika zaidi ukilinganisha na vya kukaa.
100% mkuu..
 
Back
Top Bottom